Laki 3 NDOGO? Unaifananisha na elfu 60? Hapo huyo wa Laki 3 ana mpaka priority za kupewa mkopo wa maana bank, huyo wa elfu 60 akienda bank anapewa mkopo?Mbona hamuwaombei walimu wanao lipwa laki tatu waongezewe?
Mkuu kumbuka anakula na kulala bure .na hana usafiriCha kujiuliza kama huo ustaarabu unaodai unao mbona hauna mfanya wa ndani?Mpaka unatafuta aliyenyanyaswa yaani aliye desperate.Mshahara wa elfu 60 ungekuwa na binti ungeruhusu afanye kwa mshahara huo? Wacha kujidai unasaidia huku unaendeleza unyonyaji.
Naelewa na umefafanua vyema, if everyone will be ready to put on work dealing with a traumatized person.Unaweza kunmpa therapy and the best therapy ni kumpa UPENDO Genuine then kumjenga kihisia ili kuwa na positive emotions.
Then usimfanye ajihisi yeye ni mfanyakazi Bali member of the family.
Healing takes time but time heal the all wounded scars.
Then umpe na good payment .
Trauma hutokea na kuishi Kwa mtu ambaye hajui ladha ya UPENDO wa asili.
Nimemsoma, he is always positive. Hasa siku hizi amebadilika sana huyo mwamba katika mitazamo yake.Dada yangu mzuri soma post #15 alichojibu DR HAYA LAND
Kuna watu wanafanya kazi wakitoa nauli ya kwenda na kurudi kazini, hela ya chai na lunch na dinner kwa mwezi mzima hapakiwi hata na elfu 50 ya akiba.150K ndo sahihi ili apate hata kufanya saving hata kidogo.
There's high of cost of living now
Gharama za maisha zimepanda Sana now days .
Elfu 60 hela ambayo unaigiza saamoja MTU ndo uwe mshahara Wa
MTU Kwa mwezi kweli
Ukweli, humu online watu mnalalamika huu mshahara ila kwa ground mnawapa watu 30-70 aiseeuzi mzuri shida ni kwenye mshahara tu elfu 60 ni ndogo sana licha ya kula na kulala kwako
ahsante dada HannahKuna watu wanafanya kazi wakitoa nauli ya kwenda na kurudi kazini, hela ya chai na lunch na dinner kwa mwezi mzima hapakiwi hata na elfu 50 ya akiba.
Sasa unakuta mdada huyu anaishi, anakula, ananunuliwa nguo, akiumwa anapelekwa hospital, family ikiwa na mitoko na yeye anatolewa out nk. Mwezi mzima ameishi na bado ana 60k yake haijaguswa, mbona hainw shida?
Btw wapo watu ninaowajua wanalipa wadada wao 100k+ lakini hao wadada wanafanya kazi kama punda. Na hamna cha nguo wala kutibiwa wala kula vizuri.
hali za kimaisha mkuu ndio kikwazo. alistahili hata laki 100. uzuri hakuna kazi kubwa na huyo mama ni muungwana na mtu wa kujali. ana hiyari kutembelea ndugu zake au hata kuwakaribisha. hana hiyana. ana uhuru wa kuabudu, ana uhuru wa kutazama tv na kufuatilia vipindi avipendavyo. nyumba haina mtoto. watu wawili na kazi mnasaidiana. hakuna mambo ya kukadiriana chakula n.kNipo ila ongeza kidogo boss japo 80
Then are a true definition of Dr chief.Unaweza kunmpa therapy and the best therapy ni kumpa UPENDO Genuine then kumjenga kihisia ili kuwa na positive emotions.
Then usimfanye ajihisi yeye ni mfanyakazi Bali member of the family.
Healing takes time but time heal the all wounded scars.
Then umpe na good payment .
Trauma hutokea na kuishi Kwa mtu ambaye hajui ladha ya UPENDO wa asili.
Rubbish.Laki 3 NDOGO? Unaifananisha na elfu 60? Hapo huyo wa Laki 3 ana mpaka priority za kupewa mkopo wa maana bank, huyo wa elfu 60 akienda bank anapewa mkopo?
Ukweli, humu online watu mnalalamika huu mshahara ila kwa ground mnawapa watu 30-70 aisee
Hiyo si ndogo mzee, haswa kwa bosi mzuri, gharama za kula, kulala kutibiana, bado pesa za matumizi unamuachia ana bajeti yeye.Mshahara Mdogo Sana huo 60×12 = 720K this is hell
Inahitaji moyo sana
Km bichwa lakoRubbish.
Mwambie anapewa 60 na marupurupu ya vocha na mengineyo km nguo kila Mwezi' hela za Bando na mengineyo yaan 10 10 za hapa na pale za kila siku unamkamatisha hapo atakuelewa Ila mwisho wa Mwezi Mshahara upo pale paleHiyo si ndogo mzee, haswa kwa bosi mzuri, gharama za kula, kulala kutibiana, bado pesa za matumizi unamuachia ana bajeti yeye.
Ni kuishi vizuri tu na mtu, unamjali na kumthamini.Mwambie anapewa 60 na marupurupu ya vocha na mengineyo km nguo kila Mwezi' hela za Bando na mengineyo yaan 10 10 za hapa na pale za kila siku unamkamatisha hapo atakuelewa Ila mwisho wa Mwezi Mshahara upo pale pale
Kuna nyumba zinafanya hivyo house girl kapewa mpaka gari la kutembelea, na ukiingia huwezi jua km ni house girlNi kuishi vizuri tu na mtu, unamjali na kumthamini.
naafiki. mimi mwenyewe shuhuda.Kuna nyumba zinafanya hivyo house girl kapewa mpaka gari la kutembelea, na ukiingia huwezi jua km ni house girl
Mtu anaelea watoto wako, anawapikia misosi n.k ni lazima mumuoneshe upendo kwa kweli, jitahidi kumlea vema kadri kipato chako kinavyoruhusu.Kuna nyumba zinafanya hivyo house girl kapewa mpaka gari la kutembelea, na ukiingia huwezi jua km ni house girl