Wadada wanaonyanyasika kwa mabosi zao ndiyo madada ambao hudumu kwa maboss zao kwasababu sisi binadamu tunapenda kuona mtu anapata tabu kwa hiyo hapo maneno maneno huwa hakuna Wala wakumdanganya hakuna lkn mdada aneishi vizuri na boss wake huwa hawakii maana watu hatupendi kuona mtu anaishi vizuri lazima watampa maneno na kumlagai hili tu atoke akapate tabu.