Natafuta mdhamini/Msamaria mwema wa kumshika mkono michango ya kuanza darasa la kwanza mkoani English medium kibaha

pendo2027

Member
Joined
Oct 17, 2026
Posts
8
Reaction score
18
Ndugu zangu wana jamii forums poleni na majukumu mimi ni mzazi nanyooka mbele yenu nikiwa na changamoto inayohitaji mdhamini/Msamaria mwema wa dharurma kwa ajili ya mwanangu anayetakiwa kuanza darasa la kwanza mwezi wa kwanza 2027 .mwanangu amemaliza chekechea ya mchepuo wa kingereza na ana msingi mzuri wa lugha nimefanikiwa kumtafutia nafasi kwenye shule ya serikali ya kingereza ya mkoani English medium kibaha na amepata nafasi gharama za shule kwa mwaka wa kwanza ni sh 850000 ada ni 400000 chakula ni 200000 kwa mwaka 250000 michango mingine pamoja na sare kutokana na mambo yangu ya kiuchumi kuyumba gafla mwishoni mwa mwaka huu nimekwama kabisa nina uhakika wa kiuchumi kuanzia mwezi wa 6 wa kuweza kuendelea kulipia changamoto yangu ni dharura hii ya January naomba msaada wa mdhamini/Msamaria mwema atakaenishika mkono kwa kumlipia michango ya muhula wa kwanza ili mwanangu aanze masomo bila kukwama. Kama umeguswa naomba unichek PM. Asanteni Mungu awabariki
 
Huyo mtoto wa darasa la kwanza unampeleka shule ambayo chakula kwa mwaka ni 200k si unaenda kumletea mtoto na utapiamlo?
Unaonekana huna akili ndio maana baba wa mtoto kakimbia majukumu.
Wanawake msifanye vitu kwa sifa ya kuonekana mtoto wangu anasoma boarding, huyu mtoto wa darasa la kwanza mwache aende kayumba arudi nyumbani kuliko kutafuta show off ambazo zinakupa stress sasahivi October, ikifika December itakuaje??

Kama una uhakika wa kipato hiyo June mpeleke english medium za mtaani kwako ada itakua nafuu lipa kwa robo muhula kisha June mpeleke huko pwani ukamtese mwanao.
 
Ndugu zangu wana jamii forums poleni na majukumu mimi ni mzazi nanyooka mbele yenu nikiwa na changamoto inayohitaji mdhamini/Msamaria mwema wa dharurma kwa ajili ya mwanangu anayetakiwa kuanza darasa la kwanza mwezi wa kwanza 2027 .mwanangu amemaliza chekechea ya mchepuo wa kingereza na ana msingi mzuri wa lugha nimefanikiwa kumtafutia nafasi kwenye shule ya serikali ya kingereza ya mkoani English medium kibaha na amepata nafasi gharama za shule kwa mwaka wa kwanza ni sh 850000 ada ni 400000 chakula ni 200000 kwa mwaka 250000 michango mingine pamoja na sare kutokana na mambo yangu ya kiuchumi kuyumba gafla mwishoni mwa mwaka huu nimekwama kabisa nina uhakika wa kiuchumi kuanzia mwezi wa 6 wa kuweza kuendelea kulipia changamoto yangu ni dharura hii ya January naomba msaada wa mdhamini/Msamaria mwema atakaenishika mkono kwa kumlipia michango ya muhula wa kwanza ili mwanangu aanze masomo bila kukwama. Kama umeguswa naomba unichek PM. Asanteni Mungu awabariki
Watu wa humu wako critical kidogo. Bado muda unao wa kupambana then unaweza kuanza kwa kulipa nusu kwa muhula wa kwanza huku ukiendelea kujipanga. Kila la kheri tunakuombea
 
Kwanini usifanye vitu kulingana na uwezo wako?

Vipi hiyo June ukikosa hizo pesa utafanyaje?

Na baba wa mtoto yuko wapi?

Unahisi huku ni sehemu sahihi ya wewe kuleta ombi ulilonalo? Sorry, siwezi kuita shida sababu ni mambo ya kujitakia..!!
 
Watu humu wanaleta shida zao wanasaidiwa kwanini huyu asilete? As long as watu wanatoa thread za kuomba hela zutaendelea kutiririka humu!
 
Kwanini usifanye vitu kulingana na uwezo wako?

Vipi hiyo June ukikosa hizo pesa utafanyaje?

Na baba wa mtoto yuko wapi?

Unahisi huku ni sehemu sahihi ya wewe kuleta ombi ulilonalo? Sorry, siwezi kuita shida sababu ni mambo ya kujitakia..!!
Tukikemea watu kuombaomba humu tunaonekana tuna chuki! Haya na huyu pia asaidiwe!
 
Back
Top Bottom