Upo makini weweJoined Today
5:20
Ukute hiyo ID nyingine huwa anajishauwa ni Matawi ya Juu,au ni wale ball boys akina Mwashambwa😀Kila la kheri.
ID mpya na kuomba msaada ni dhahiri una ID nyingine, kwanini usiombe kupitia hiyo ya zamani!?
Unaficha kitu gani
Hiyo ni shule ya serikali na hiyo 200K haimaanishi ndiyo gharama zote za chakula kwa mwaka kwa kila mtoto bali inawezekana wameamua mzazi achangie asilimia fulani tu.Huyo mtoto wa darasa la kwanza unampeleka shule ambayo chakula kwa mwaka ni 200k si unaenda kumletea mtoto na utapiamlo?