Natafuta mdhamini/Msamaria mwema wa kumshika mkono michango ya kuanza darasa la kwanza mkoani English medium kibaha

Natafuta mdhamini/Msamaria mwema wa kumshika mkono michango ya kuanza darasa la kwanza mkoani English medium kibaha

Moja ya kitu huwa sielewi ni kuzaa watoto usiokuwa na uwezo nao, mwisho wa siku ni kutesa tu viumbe ambavyo havikuomba kuzaliwa.

Siijui hali yako kiuchumi, ila kwa kiasi kikubwa watu wengi wanazaa ilimradi tu, au bila mipango: ni heri uchelewe kupata watoto ila ukiwapata uwape mahitaji yao muhimu, au usiwatafute kabisa.

Pole, na kila la kheri!
Huyu wala hajakosa uwezo, amejitakia matatizo makubwa kuliko uwezo wake
Mtu anaishi Mbeya anataka kumpeleka mtoto kusoma pwani kwani huko mbeya hamna shule za serikali ambapo ghatrama yake kwa mwaka haizidi 100k hapo ni sare na michango imekamilika???
 
Kwanini usiishi ndani ya uwezo wako dear? Mpeleke kayumba .maana amesema ana msingi mzuri nahakika hata huko atakua kielimu 850k parefu sana ndo kwanza akaanza. ..kila la heri
 
Back
Top Bottom