MhhhJoined Today
5:20
Watu wa humu wako critical kidogo. Bado muda unao wa kupambana then unaweza kuanza kwa kulipa nusu kwa muhula wa kwanza huku ukiendelea kujipanga. Kila la kheri tunakuombeaNdugu zangu wana jamii forums poleni na majukumu mimi ni mzazi nanyooka mbele yenu nikiwa na changamoto inayohitaji mdhamini/Msamaria mwema wa dharurma kwa ajili ya mwanangu anayetakiwa kuanza darasa la kwanza mwezi wa kwanza 2027 .mwanangu amemaliza chekechea ya mchepuo wa kingereza na ana msingi mzuri wa lugha nimefanikiwa kumtafutia nafasi kwenye shule ya serikali ya kingereza ya mkoani English medium kibaha na amepata nafasi gharama za shule kwa mwaka wa kwanza ni sh 850000 ada ni 400000 chakula ni 200000 kwa mwaka 250000 michango mingine pamoja na sare kutokana na mambo yangu ya kiuchumi kuyumba gafla mwishoni mwa mwaka huu nimekwama kabisa nina uhakika wa kiuchumi kuanzia mwezi wa 6 wa kuweza kuendelea kulipia changamoto yangu ni dharura hii ya January naomba msaada wa mdhamini/Msamaria mwema atakaenishika mkono kwa kumlipia michango ya muhula wa kwanza ili mwanangu aanze masomo bila kukwama. Kama umeguswa naomba unichek PM. Asanteni Mungu awabariki
Watu wa humu wako critical kidogo. Bado muda unao wa kupambana then unaweza kuanza kwa kulipa nusu kwa muhula wa kwanza huku ukiendelea kujipanga. Kila la kheri tunakuombea
Wewe ni ME au KE? Tuanzie hapo kwanza.
Usikate tamaa mapema hivi, bado tuna miezi miwili ya kutafuta hiyo pesa mpaka mwakani.MUNGU akutangulie
kumeanza kuchangamka 😀Nitumie picha yako
Watu humu wanaleta shida zao wanasaidiwa kwanini huyu asilete? As long as watu wanatoa thread za kuomba hela zutaendelea kutiririka humu!Watu wa humu wako critical kidogo. Bado muda unao wa kupambana then unaweza kuanza kwa kulipa nusu kwa muhula wa kwanza huku ukiendelea kujipanga. Kila la kheri tunakuombea
Tukikemea watu kuombaomba humu tunaonekana tuna chuki! Haya na huyu pia asaidiwe!Kwanini usifanye vitu kulingana na uwezo wako?
Vipi hiyo June ukikosa hizo pesa utafanyaje?
Na baba wa mtoto yuko wapi?
Unahisi huku ni sehemu sahihi ya wewe kuleta ombi ulilonalo? Sorry, siwezi kuita shida sababu ni mambo ya kujitakia..!!
Nalijua hilo ndo maana sijasema kama kakosea kuleta humu nimempa tahadhari tuWatu humu wanaleta shida zao wanasaidiwa kwanini huyu asilete? As long as watu wanatoa thread za kuomba hela zutaendelea kutiririka humu!
Hakuna shida hapo utapeli tuWatu humu wanaleta shida zao wanasaidiwa kwanini huyu asilete? As long as watu wanatoa thread za kuomba hela zutaendelea kutiririka humu!
Hiyo sio shida ni mambo yake binafsi ya kuforce soft life..!!Watu humu wanaleta shida zao wanasaidiwa kwanini huyu asilete? As long as watu wanatoa thread za kuomba hela zutaendelea kutiririka humu!