Natafuta mdhamini/Msamaria mwema wa kumshika mkono michango ya kuanza darasa la kwanza mkoani English medium kibaha

Huyu wala hajakosa uwezo, amejitakia matatizo makubwa kuliko uwezo wake
Mtu anaishi Mbeya anataka kumpeleka mtoto kusoma pwani kwani huko mbeya hamna shule za serikali ambapo ghatrama yake kwa mwaka haizidi 100k hapo ni sare na michango imekamilika???
 
Kwanini usiishi ndani ya uwezo wako dear? Mpeleke kayumba .maana amesema ana msingi mzuri nahakika hata huko atakua kielimu 850k parefu sana ndo kwanza akaanza. ..kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…