Natafuta mganga konki wa kurejesha Mahusiano

Natafuta mganga konki wa kurejesha Mahusiano

Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano.. Malipo ni baada ya kazi
Nipo hapa

Niandalie

*Ule mti ambao umeanguka kutoka mdomoni mwa mwewe...

*Kijiti kutoka Mti uitwao MZIMA na ukilaze Juu ya KABURI kwa usiku mmoja.

*Mjusi wale wanao kaaga ndani mkamate mmoja

Ukipata vitu vitatu tajwa hapo juu utanambia nikupe formula mkuu
 
Back
Top Bottom