Natafuta mganga konki wa kurejesha Mahusiano

Natafuta mganga konki wa kurejesha Mahusiano

Nipo hapa

Niandalie

*Ule mti ambao umeanguka kutoka mdomoni mwa mwewe...

*Kijiti kutoka Mti uitwao MZIMA na ukilaze Juu ya KABURI kwa usiku mmoja.

*Mjusi wale wanao kaaga ndani mkamate mmoja

Ukipata vitu vitatu tajwa hapo juu utanambia nikupe formula mkuu
Hii mpya ndo naisikia leo. Tupe formula hiyo na sisi tujue
 
Back
Top Bottom