Mkuu kama umempata naomba na mimi mawasiliano yake tafadhali.Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano.. Malipo ni baada ya kazi
DaaahHuu ni mwaka wa kufosii dadekiii hakuna kuachika kizembe ππ
Wengi wahuni, wanatest dawa zao kwenye naniliu kwanza be watchful.Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
Wanaume wanalogwa sana, huyo aliyemnyang'anya utakuta nae konk fire vs fire.Huu ni mwaka wa kufosii dadekiii hakuna kuachika kizembe ππ
Lazima akome bwana ππ€£πππ Basi achana naye
Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
Kama unaweza kupata kambale ambaye amevuliwa siku hiyo hiyo njoo nikupe formula.
Uhakika
Enchantment zipo na zinafanyaga kazi hata formula juu Ina work out..............Hii mpya ndo naisikia leo. Tupe formula hiyo na sisi tujue