Juddywamum
New Member
- May 11, 2015
- 1
- 0
Natafta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani ...
Kwanza nakupongeza kuwa Member wa JF muda mrefu na kubadilisha ID kwa tatizo kama hilo.Natafta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani ...
Natafta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani ...
Ngoja nikuambie kitakachotokea.
Utaenda kwa mganga, utamwambia au hata usimwambie matatizo yako; atakushughulikia.
Utapeleka sijui kuku au mbuzi dume mweupe atamchinja ktk madhabahu ya kishetani na damu yake itakuwa sadaka. Atakukuchanja chale na damu yako itakuwa sadaka na utakuwa umefanya maagano na shetani kwa sadaka hiyo ya damu. Utapata ahueni kwenye hayo matatizo yako na huenda yakaisha kabisa. Lkn jua umeuza nafsi yako kwa shetani hadi kizazi chako cha nne. Ndiyo namaanisha mpaka wajukuu wa watoto wako mnatakiwa kumtumikia huyo shetani.