Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

Mganga ni mungu tu alie juu mbinguni!!!mwamini yeye na kila kitu kitakuwa sawa !!!ubarikiwe
 
Mleta mada nenda ukasome biblia maandiko ya Mungu katika kitabu cha Yeremia Mlango wa 17utapata jibu la matatizo yako.
 
Haya leta hela hizo watu tule nitafute mm ni mtaalamu wa kusafisha nyota kuongeza mvuto,kutoa nuksi nk uje na jasho la kuku, vuzi la nyoka,kucha za konono, meno ya jongoo,kondoo mweupe kuku jogoo mweusi,na pesa million mbili matatizo yote kwisha. Taadhal wajinga ndio waliwao maana hata waganga wanamtegemea Mungu muumba karib
 
Mimi pia nataka mganga ili niweze kumfanya MTU fulani awe masikini ili aje kunililia shida kila siku nikimchukia MTU nimhamishe ninakotaka mm nimgombanishe na ndugu zake nsaada hata namba zake nipeni
 
tusijibu mapema, mganga wa aina gani?, matatizo ya aina gani unayo? unataka kung,oa jino? waganga wa kutoa misukule? fafanua....
 
Kama unamaanisha sangoma, achana kabisa na watu hao, kimbilia kwa Yesu yeye ni jibu la mambo yote. Sawa!
 
Hakuna jambo nachukia maishani kama hili, nafsi inanisuta kwa kushiriki kwangu mambo haya.
 
Ndugu yangu unatafuta mganga kwa shida za kinyumbani kwanini usimkimbilie muumba wako aliyekuumba yeye ndiye anayetatatua mizigo yote
amesema kwenye neno lake kuwa tukimtwita fadhaa zetu zote na mizogo na na matatizo ya kifamilia yote yeye anatutua na kutupa wepesi kwani usiende kwenye maombi ukamwomba mungu wako akuondolee huo mzigo wako mkuu kma unayo imani hata kama chembe ya haradai ukauambia mlima wa matatizo yako ya nyumbaini ngoka uende baharini nao utatiii na kufanya hivyo shida na matatizo mbele za mungu yeye ni muweza wa yote mtwike shida zako naye atatenda na kufanya mlango wa kutokea katika shida yako
natafta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani ...
 
Aha ujinga waganga wa kienyeji sio washetani ! Usomi uchwara huu unawasumbua ungemshambulia mleta mada kama angekuwa amefunguka kuwa ana matatizo gani na anataka tiba gani....hATA HIZI DAWA AMBAZO WEWE UNAITA SIO ZA KIENYEJI KUNA NYINGNE ZINAFANANA NA NA ZA kIENYEJI ! hiVI KUNA USHETANI GANI UKINYWA MAJI YA MPERA KWA AJILI YA TUMBO! AU MWARAOBAINI KUTIBU MALARIA! cHINA NA JAPAN WAMEPIGA HATUA KUBWA SANA KUAFYA KWA DAWA ZA KIENYEJI ACHA MAWAZO YA KINZISHE!
.......Karne hii bado kuna mijitu ina mawazo mgando ya aina hii lol!!. Ukimpata huyo mganga natamani akuchanje chale za matako hadi ushindwe kukaa, ndo akili zitakukaa sawa.

Watu wanaomilikiwa na Shetani utawajua tu, hata tatizo likiwa la kawaida lazima aombe msaada kwa Shetani mwenzao (mganga wa kienyeji).
 
Sasa ngoja nikuambie njia nyingine.
Mpelekee Mungu shida yako, na ataijibu katika namna moja kati ya hizi mbili.
1. Atakupa nguvu ya kupambana hayo matatizo kiasi kwamba hautakufa (si ndio worse case scenario). Wanasema hataruhusu jaribu kubwa kuliko nguvu akupazo. AU
2. Atakuondolea hilo tatizo kabisa. Hili atalifanya kwa muda ambao atauona unafaa maana wakati mwingine tunapitia matatizo ili yatuandae kwa majukumu makubwa zaidi baada ya kupanda daraja ktk maisha. Au tunapitia matatizo ili kutupunguzia kiburi au kutunyenyekesha.

Katika njia yoyote ile utashinda na utapata baraka wewe na kizazi chako.

Good reading and night
Kaunga unatisha,maana nondo za leo umemaliza kila kitu na pia umetoa somo kubwa sana.
Naomba kama ukiachia kwa mumeo unitafute.(vichwa kama hivi ndio vinafaa kukaa kwenye nyumba)
 
Aha ujinga waganga wa kienyeji sio washetani ! Usomi uchwara huu unawasumbua ungemshambulia mleta mada kama angekuwa amefunguka kuwa ana matatizo gani na anataka tiba gani....hATA HIZI DAWA AMBAZO WEWE UNAITA SIO ZA KIENYEJI KUNA NYINGNE ZINAFANANA NA NA ZA kIENYEJI ! hiVI KUNA USHETANI GANI UKINYWA MAJI YA MPERA KWA AJILI YA TUMBO! AU MWARAOBAINI KUTIBU MALARIA! cHINA NA JAPAN WAMEPIGA HATUA KUBWA SANA KUAFYA KWA DAWA ZA KIENYEJI ACHA MAWAZO YA KINZISHE!

.....Mkuu, familia yenu ya waganga wa kienyeji nini! Naona unatokwa mapovu kuwatetea. Kama sio ushetani tuwaiteje? Hivi wanaouwa Albino si ndio hao wanaoagizwa na baadhi ya Waganga wa kienyeji?. Niache niite Ushetani kwa mtazamo wangu, sijavunja sharia kutoa mawazo yangu binafsi.

Kuita mawazo yangu ya kijinga au kinzishe haisaidii kitu zaidi ya wewe kuanika ujinga na ush&n2i wako ili tukufahamu vizuri.

Usiwe unakimbilia kila kitu kusema usomi uchwara, mara nyingine mtu anapoandika kitu huwasilisha mawazo yake binafsi na sio usomi au elimu yake, wee vipi!!!
 
Wewe ni dini gani mheshimiwa? Unawezakupata msaada
 
Back
Top Bottom