Wanaoua Albino wanagizwa na baadhi ya waganga wa kienyeji.....Huoni hapa kuwa hapo hakuna waganga wa kienyeji zaidi ni wauaji ! Uganga wa kienyeji sio waote wanafanya mabo hayo kwa hiyo sio sahihi kuita Ushetani! Nenda kijijini uugue kuhara ,NA ZAHANATI ISIWEPO HAPO NDIO UTAJUA waganga wa kienyeji ni mashetani au lah! Haya ni mawazo ya kijinga tuliyoachiwa na wazungu ! kama amabako kuna utapeli kataika fani nyingine hata kwenye tiba asili kuna weza kuwepo ! usishupalie hoja za kikoloni ...tafakari MUNGU hakuwa mjinga kuwafundisha babau zetu tiba za asili afu wewe unajumuisha kuwa ni ushetani ....shama upon you msomi uchwara!
.....Mkuu, familia yenu ya waganga wa kienyeji nini! Naona unatokwa mapovu kuwatetea. Kama sio ushetani tuwaiteje? Hivi wanaouwa Albino si ndio hao wanaoagizwa na baadhi ya Waganga wa kienyeji?. Niache niite Ushetani kwa mtazamo wangu, sijavunja sharia kutoa mawazo yangu binafsi.
Kuita mawazo yangu ya kijinga au kinzishe haisaidii kitu zaidi ya wewe kuanika ujinga na ush&n2i wako ili tukufahamu vizuri.
Usiwe unakimbilia kila kitu kusema usomi uchwara, mara nyingine mtu anapoandika kitu huwasilisha mawazo yake binafsi na sio usomi au elimu yake, wee vipi!!!
