Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

Wanaoua Albino wanagizwa na baadhi ya waganga wa kienyeji.....Huoni hapa kuwa hapo hakuna waganga wa kienyeji zaidi ni wauaji ! Uganga wa kienyeji sio waote wanafanya mabo hayo kwa hiyo sio sahihi kuita Ushetani! Nenda kijijini uugue kuhara ,NA ZAHANATI ISIWEPO HAPO NDIO UTAJUA waganga wa kienyeji ni mashetani au lah! Haya ni mawazo ya kijinga tuliyoachiwa na wazungu ! kama amabako kuna utapeli kataika fani nyingine hata kwenye tiba asili kuna weza kuwepo ! usishupalie hoja za kikoloni ...tafakari MUNGU hakuwa mjinga kuwafundisha babau zetu tiba za asili afu wewe unajumuisha kuwa ni ushetani ....shama upon you msomi uchwara!
 
Kaunga unatisha,maana nondo za leo umemaliza kila kitu na pia umetoa somo kubwa sana.
Naomba kama ukiachia kwa mumeo unitafute.(vichwa kama hivi ndio vinafaa kukaa kwenye nyumba)

Utasubiri sana I am afraid, labda uvamie tu kama King'asti anavyoboreka kusubiri mimi na The Boss tumalizane.
 
Last edited by a moderator:

.....Ok, umeshinda!, endelea kutetea kazi inayowaingizia kipato wazazi wako.
 
Lazima nikushinde kwa sababau mie sijazoea matusi! watoto wa mjini nyie mlio kulia kuku wa wa kubeba kwa picku up !AKIIi zenu mhhhhh
.....Ok, umeshinda!, endelea kutetea kazi inayowaingizia kipato wazazi wako.
 
Mie siungi foleni mama, nachomekea na nna ngao kama ya jeshi hehehe
Utasubiri sana I am afraid, labda uvamie tu kama King'asti anavyoboreka kusubiri mimi na The Boss tumalizane.

Yaani umemuaminisha kabisa kuwa nimesubirishwa? Hajui style ya kula um'bakishie baba? Haya mie siamshi waliolala
Hahaaa.....naona wengi wanasubiri..and the wait is forever
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nataka mganga ili niweze kumfanya MTU fulani awe masikini ili aje kunililia shida kila siku nikimchukia MTU nimhamishe ninakotaka mm nimgombanishe na ndugu zake nsaada hata namba zake nipeni
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…