Natafuta mganga wa kienyeji konki

Maya Angelou

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
1,086
Reaction score
2,576
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
 
Hebu niambie vita yako unataka iwe na Matokeo gani.

Kutoa funzo ama Kuteketeza kabisa?

Kisha nitajua nikusaidieje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…