Natafuta mganga wa kienyeji konki

Vita ya nguvu za giza ni mbaya sana, ikitokea umemkosakosa akafight back basi lazima mmoja wenu achungulie kaburi au ateketeze uzao wake.

Isije kuwa ni hasira tu zinakusukuma hivyo zikiisha ukajutia.
Nafikiri hvyo mm mwenywe Ni hasira tu zilinipelekea kuwafikiria
 
Kuna bosi wangu tulikua tunamwita"ushungi ",alikua anavàa kama Dada samia.

Wakurogwa kabisa yule kwa ile roho yake.

Ana bahati sijui hayo mambo.

Leteni mwongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…