Natafuta mganga wa kienyeji konki

Hata mwandulami alikuwa tajiri sana
Yeye kutibu mtu hata bure alikuwa anafanya hivyo. Sema ndo hivyo wema hawadumu
Ni kweli,huyo mzee mara nyingi nikimpa hela alikua tu anasema "kijana wangu hifadhi hiyo,siku wakija watoto wa madrasa hapa upigwe kisomo ndo uwape soda na mpunga km sadaka yako inatosha"
 
Ni kweli,huyo mzee mara nyingi nikimpa hela alikua tu anasema "kijana wangu hifadhi hiyo,siku wakija watoto wa madrasa hapa upigwe kisomo ndo uwape soda na mpunga km sadaka yako inatosha"
Mkuu unavyomuona imma atavaa viatu vya mzee ipasavyo kweli??
Au ataleta ujana ujana?
 
Uzi fwatiliwaji sana kimya kimya kwa sasa...
 
Connection tasavali
 
hakika vita ni vita......ila daslam hata pwani hupati.........mpaka umfikie wa kweli.....ushapigwa sana njiani......sio leo wala kesho.......lazima uwe jasiri kwanza.......sio simple kama ku type keyboard.......
 
Mchepuko tu ndo unataka kutoa mtu roho? huyo dada naye alitongozwa tu kama wewe



Kwanini hakukataa alipotongozwa ili hali alikuwa anajua jamaa ameoa na siku ya harusi huyo mchepuko alikuwepo kuanzia kanisani hadi ukumbini na kuthibitisha kuwa jamaa ameoa?!

Kwani alifanya kubakwa ?


Isitoshe mke wa jamaa amekuwa akiwakamata mumewe na huo mchepuko mara kadhaa kwa miaka kadhaa na kumuonya mara kadhaa lakini mchepuko umeendelea kushupaza shingo na kumganda mume wa mtu kwa miaka yote hiyo?!

Mchepuko hauna kazi hata ya kuingiza kipato cha shilingi 100 mchepuko unaishi mjini Kwa kuwekwa na mume wa mtu halafu amepumbaza akili ya mume wa mtu kiasi nyumba imekufa na kuparagangika!

Halafu mchepuko haujui kuwa mke wa ndoa ndio wenye kufanya maendeleo ya familia yote anayoyajua na asoyajua?!

Mchepuko ameenda mbali kwa kuzaa na mume wa mtu na kumroga na kumfanya zezeta?!

Mchepuko wa hivyo sio wa kuupotezea tena enough is enough!

Mpe funzo ambalo litakuwa Somo kwa wengi.

Usimuue,

Kisasi ni cha Bwana,

Lakini funzo mpe tena kubwa sana lile la mwanaukome!

Yani mtu badala ya kuonesha kujutia makosa Eti yeye anatamba?

Hapana!

Mleta mada mimi nakuelewa Dunia hii nimejifunza iko na mambo mengi sana.

Kuna ndugu yangu anapitia mtihani wa kufanana na wako!
 
Mi nipe mrejesho tu unayemloga kashafika huku kupata kinga konki.
Ukidunda hata Jf hurudi tutasimuliwa.



Kinga ni swala moja lakini la msingi ni Je anahatia?

Sheria ya asili ile ya Nuru na ile Giza huangalia
Dhamiri na hatia.

Kinga itamsaidia mtu pale atakapokuwa anaonewa .

Lakini iwapo yeye ndiye mkosa kinga haifui dafu.

Tuishi na watu kwa wema tusihusudiane na kuumana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…