Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Heri tu mpumzike mkiwa apecha alolo
Mali nyingi za nini na wakati hamzikwi nazo?
Hahaha.............nitaghairi kwenda kutafuta Utajiri iwapo utafanya mpango wa kuninunulia Tumbaku yangu kila mwezi, kukaa bila kuvuta kwa sisi Wazee hatuwezi kabisa 🤪🙈
 
Hahaha.............nitaghairi kwenda kutafuta Utajiri iwapo utafanya mpango wa kuninunulia Tumbaku yangu kila mwezi, kukaa bila kuvuta kwa sisi Wazee hatuwezi kabisa 🤪🙈
Deal ✅

Sema kingine mzee?
 
Sweta gani la 2m kasoro 😂😂😂
Hapana, tuendelee na ulozi
Ehee mganga alisema tupeleke nini?
Yaani koti tu kutoka Italy 🇮🇹 gharama yake haizidi dollar 800 tu, fanya mpango Babu asife kwa baridi Mjukuu
 
Sweta gani la 2m kasoro 😂😂😂
Hapana, tuendelee na ulozi
Ehee mganga alisema tupeleke nini?
Mganga hataki vitu vingi, yeye anataka sarafu tu ya shilingi 50 na majina ya mlengwa 🤪
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. [emoji1545][emoji1550]
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
@Mshana Jr
 
Page ya tisa hakuna namba ya mganga konki hakuna koneksheni.....Wana acheni uchoyo
95% siku hizi ni wapigaji na hao halisi dawa wanazotumia hazina nguvu tena kutokana na mazingira ya dunia kubadilika sana kutokana na ardhi kunajisiwa sana
 
Back
Top Bottom