Hahaha.............nitaghairi kwenda kutafuta Utajiri iwapo utafanya mpango wa kuninunulia Tumbaku yangu kila mwezi, kukaa bila kuvuta kwa sisi Wazee hatuwezi kabisa 🤪🙈Heri tu mpumzike mkiwa apecha alolo
Mali nyingi za nini na wakati hamzikwi nazo?
Deal ✅Hahaha.............nitaghairi kwenda kutafuta Utajiri iwapo utafanya mpango wa kuninunulia Tumbaku yangu kila mwezi, kukaa bila kuvuta kwa sisi Wazee hatuwezi kabisa 🤪🙈
Kingine nipate Koti zito zito, Babu yenu naweza kufa kwa baridi na Huu Uzee 🤪Deal ✅
Sema kingine mzee?
🤣 mhh mbona vinazidi?Kingine nipate Koti zito zito, Babu yenu naweza kufa kwa baridi na Huu Uzee 🤪
Yaani koti tu kutoka Italy 🇮🇹 gharama yake haizidi dollar 800 tu, fanya mpango Babu asife kwa baridi Mjukuu🤣 mhh mbona vinazidi?
Em loga tu uwe bilionea
Yaani koti tu kutoka Italy 🇮🇹 gharama yake haizidi dollar 800 tu, fanya mpango Babu asife kwa baridi Mjukuu
Mganga mgaigai huyoIlitakiwa ulivofika tu ujue tayari shida zake....
Mganga hataki vitu vingi, yeye anataka sarafu tu ya shilingi 50 na majina ya mlengwa 🤪Sweta gani la 2m kasoro 😂😂😂
Hapana, tuendelee na ulozi
Ehee mganga alisema tupeleke nini?
Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. [emoji1545][emoji1550]Wakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
😂😂 Jiandae chap twendeMganga hataki vitu vingi, yeye anataka sarafu tu ya shilingi 50 na majina ya mlengwa 🤪
@Mshana JrWakuu mambo vp?
Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!
Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.
N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Sijajua umelenga kumtoa nani kafara, ila mimi wangu tayari yupo 🤪🏃🏃😂😂 Jiandae chap twende
Zingatia hili katazo@Mshana Jr
Nakutoa weweSijajua umelenga kumtoa nani kafara, ila mimi wangu tayari yupo 🤪🏃🏃
Ila make sure Bibi yako utamtunza kwa niaba yangu 🤪🤪Nakutoa wewe
Ushakula chumvi ngingi
NdioIla make sure Bibi yako utamtunza kwa niaba yangu 🤪🤪
Hapo sawa, kumbuka ukishindwa masharti lazima utajiri uishe ukose hata mia ya Big G 😎Ndio
Muda huo tuko mabilionea
Mambo yatakuwa bomba sana
Sawa semaji 🤣🤣Hapo sawa, kumbuka ukishindwa masharti lazima utajiri uishe ukose hata mia ya Big G 😎
95% siku hizi ni wapigaji na hao halisi dawa wanazotumia hazina nguvu tena kutokana na mazingira ya dunia kubadilika sana kutokana na ardhi kunajisiwa sanaPage ya tisa hakuna namba ya mganga konki hakuna koneksheni.....Wana acheni uchoyo