Natafuta mganga wa kienyeji konki

Hivi jamani Kuna ukweli wowote kuhusu kuwepo waganga wanaotoa utajiri?kama wapi ni wapi wanapatikana?
Wapo,ila kumbuka utajiri wa hivo una majuto makubwa.Hebu fikiria kwanza mfn mtu m600 zinatembea barabarani alafu yeye haruhusiw kupanda hayo magari wala kulala ndani ya nyumba usiku kucha nikuzurura kwenye maclub mpaka kuna kucha.Hayo si ni mateso ndugu?
 
Noma sana!
 
Wew muombe mungu hizi kenge zitakuchelewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…