Natafuta mganga wa kienyeji konki

Mti mkavu, wapo wengi tulikuwa tunawasoma magazetini enzi hizo, wengi walitoka sumbawanga ufipa, kigoma ujiji. Siku hizi wamefunikwa na freemason feki
 
Wale ambao tulishawahi kwenda kwa waganga leo tuna uzi wetu.

Naanza na Profesa Maji Marefu kutoka hapo Tanga.

Endeleza list…
Pakipande iringa moja huyu aliwapa utajiri watu wengi miaka iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…