Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Maji marefu hakuwa mganga alikuwa Tapeli tu.Wale ambao tulishawahi kwenda kwa waganga leo tuna uzi wetu.
Naanza na Profesa Maji Marefu kutoka hapo Tanga.
Endeleza list…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji marefu hakuwa mganga alikuwa Tapeli tu.Wale ambao tulishawahi kwenda kwa waganga leo tuna uzi wetu.
Naanza na Profesa Maji Marefu kutoka hapo Tanga.
Endeleza list…
Huyu alipigwa pini, lakini cha kushangaza ana knoledge kubwa sana ya hiyo sekta, sijui nini kilitokea mpaka akathibitika ni tapeli, nchi ngumu sana hii.Hivi Mtu mzito aliendaga wapi, mganga wetu wa jf
Nshasahau hicho kisa ila ilikuja ishu ya utapeli sijui alifanya nini, katelekeza ID 😁Huyu alipigwa pini, lakini cha kushangaza ana knoledge kubwa sana ya hiyo sekta, sijui nini kilitokea mpaka akathibitika ni tapeli, nchi ngumu sana hii.
Ila jamaa kwa theory alikuwa anajuwa sana siyo masihara, sijui practically ilikuwaje!!Nshasahau hicho kisa ila ilikuja ishu ya utapeli sijui alifanya nini, katelekeza ID 😁
Pakipande iringa moja huyu aliwapa utajiri watu wengi miaka iyoWale ambao tulishawahi kwenda kwa waganga leo tuna uzi wetu.
Naanza na Profesa Maji Marefu kutoka hapo Tanga.
Endeleza list…
Tekelo mnamjua vijana wa leo?Wale ambao tulishawahi kwenda kwa waganga leo tuna uzi wetu.
Naanza na Profesa Maji Marefu kutoka hapo Tanga.
Endeleza list…
Jichawi je?Hivi Mtu mzito aliendaga wapi, mganga wetu wa jf
Jichawi je?
Alikua mzuri alafu akaja kuolewa na mgangaMume wa Nuru Nasoro(Nora) Ngwizikulu Jilala