Hasa uko ndonoPanda GARI uelekeo usome TABORA ukiwa na Majina ma 3 ya mtu wako.
Itapendeza zaidi ukiwa na Picha yake ili kombora lisije tua kwa jirani.
Wana TABORA wote shikamoooni...Mkoa HATARI kuliko neno lenyewe HATARI.
Hatari tupu ule Mkoa nauita mkoa wa Kushikisha raia ADABU.Hasa uko ndono
We ni mganga wa kienyeji konki?
Namba za uyo mwamba wa vingunguti, kuna mpangaji wangu kahama kang'oa na mafeni yangu ya juu, nataka nimtie adabu haraka sana,nafikiri pia kumuendea Tanga kwa msisi nikatafute mtaalamu,kaniuzi sana sanaNilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Hao mod ndio vigagula wenyewe sasaBado kaka, iala nashaangaa kwanini mods wameweka hii threads huku kama comment wakati me nimeandika kama post yangu
Nipe mimi mkuuNikupe connection ya handeni Tanga
Nasikia ukivuka ukaelekea congo huko kuna masangoma hatari. Jamaa yangu fulani kuna kipindi cha uncle magu alisimamiswa yeye na mwenzake kwa kupiga zaidi ya bilioni 2. Ni kweli alikuwa kapiga ila haikuwa kiasi hicho alikuwa kapiga kama 300 hivi.habari yaww
_kuna jamaa yangu anatia huruma sana. Anafamilia, amepanga, watoto wanasoma shuke zakulipia, wadogo zake wawili wanaishi kwake.
Jamaa amepata msala mmoja mkubwa sana _ kuhusu kuiba pesa kwenye kampuni yao.
Ila jamaa kiuhalisia hajaiba hizo pesa
Mpaka sasa wamesimamishwa kazi watu kama wanne ivi kazini kwako mpaka uchunguzi zaidi utakapo fanyika
Jamaa anaomba msaada kwenye maswala yasangoma ambae anaweza mpika vizuri ili aonekane hana hatia pia arudishwe kazini
Nasikia ukivuka ukaelekea congo huko kuna masangoma hatari. Jamaa yangu fulani kuna kipindi cha uncle magu alisimamiswa yeye na mwenzake kwa kupiga zaidi ya bilioni 2. Ni kweli alikuwa kapiga ila haikuwa kiasi hicho alikuwa kapiga kama 300 hivi.
Jamaa alikuwa anaenda kwa kila sangoma aliyeambiwa anaweza msaidia si mbeya, si zanzibar, bagamoyo, kinondoni yani kila kona.
Mwisho kazi alifukuzwa ila hakupelekwa mahakamani. Aliconclude kwamba, dawa zilikuwa hazifanyi kazi ila zilikuwa zinamwondolea hofu na kumfanya ajiamini vinginevyo angekufa kwa hofu.
Panda GARI uelekeo usome TABORA ukiwa na Majina ma 3 ya mtu wako.
Itapendeza zaidi ukiwa na Picha yake ili kombora lisije tua kwa jirani.
Wana TABORA wote shikamoooni...Mkoa HATARI kuliko neno lenyewe H
Kuwa serious basiNjoo Pm nikutapeli tena .
Tafuta eneo lako ukauze mil 39Huyu jamaa anasema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa saa Tano ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Pesa ipo ilrimradi awe uhakika kazi yake huyu mjinga KATUKERA sana leoUtanipa tsh gap? Mkuu
HujielewiTafuta eneo lako ukauze mil 39