Nasikia ukivuka ukaelekea congo huko kuna masangoma hatari. Jamaa yangu fulani kuna kipindi cha uncle magu alisimamiswa yeye na mwenzake kwa kupiga zaidi ya bilioni 2. Ni kweli alikuwa kapiga ila haikuwa kiasi hicho alikuwa kapiga kama 300 hivi.
Jamaa alikuwa anaenda kwa kila sangoma aliyeambiwa anaweza msaidia si mbeya, si zanzibar, bagamoyo, kinondoni yani kila kona.
Mwisho kazi alifukuzwa ila hakupelekwa mahakamani. Aliconclude kwamba, dawa zilikuwa hazifanyi kazi ila zilikuwa zinamwondolea hofu na kumfanya ajiamini vinginevyo angekufa kwa hofu.