Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Basi ngoja niwapatie kisa flani hivi..
Mwaka 2019 niliibiwa simu zangu kama 3 hivi...(kila moja ilikuwa na matumizi yake ikiwemo ya shughuli za dukani).
Basi nikaelekezwa kwenda pale makanya sehemu inaitwa nkwini. Nimefika mzee akaniambia utazipata tu.
Basi akanipigisha kambi kama siku 3 kwake ila usiku wa manane ananiamsha tunatoka nje kuna upande tunasimama halafu kuna maneno anaongea na mimi ananiambia niongee maneno flani.
Basi akaniambia nikanunue mbuzi wale wa rangi za brown na kuku wa nkama sijui. Kwa ajili ya kuniangalia matatizo yangu lakini pia itolewe kama sadaka yani watu waitwe wale na chakula kipikwe.
Basi siku ya mnada wa makanya j5 tukaenda na mwanae ikantoka kama 80 elfu hivi kununua mbuzi na jogoo.
Basi akamchinja yule mbuzi akachukua utumbo wake akawa anaangalia vitu flani.
Kupitia ule utumbo aliniambia anaona msiba kwenye familia yangu ila sio mimi nitakaekufa
Pia anaona nina nyota ya hela na kuna utajiri mkubwa mbeleni (sasa sijawa tajiri ila mtaji upo mahali unakuja na nishauzoom).
Na sijalogwa sema ni matatizo tu madogo madogo ambayo mengine niliyasababisha mimi mwenyewe na kuna jambo akanilataza nisilofanye kwani litaharibu baraka zangu na malaika wanaonilinda watachukia.
Pia aliniambia jambo lingine ambalo sijalitaja nalo likawa vile vile.
Kingine akaniambia mwanaume niliye naye japo ninampenda sana hanifai kabisaa na atanisumbua sana mbeleni.

Haya yote aliyoyasema yalitimia kwa asilimia 100% na simu nilikuja kuzipata na aliyenikaba kwakuwa sura nilimkumbuka ndo alikamatwa (yani aliiba June 2019 akaja kukamatwa October 2019) akalipa gharama zote.

Sema huyu mzee mganga kwa jina la Wandile alikuja kufa na korona mwaka jana mwanzoni.
Ila alikuwa hatarii
So waganga wapo na wana maajabu watu muache ubishi
 
Nimegundua watanzania haya mambo wanafanya sana tu
Namba ya imma imeombwa kama njugu huko chuma binafsi
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msije mkasema nimewasema...sinaga tabia hizo na sitawasema.
Ila nomefurahi tu kuona watu wanaukana unafiki
Cha kushangaza utakuta The Icebreaker naye kaja PM kuchukua namba ya Imma
 
Ni jambo la kawaida sana kwenye jamii yetu sema huwa tunaogopa kuongea wazi wazi,hizi ndio asili zetu mababu zetu walifanya haya kabla ya wazungu kuja na dini
 
Nimegundua watanzania haya mambo wanafanya sana tu
Namba ya imma imeombwa kama njugu huko chuma binafsi
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msije mkasema nimewasema...sinaga tabia hizo na sitawasema.
Ila nomefurahi tu kuona watu wanaukana unafiki
Hahaaah.. Imebidi nicheke
 
Mi nipe mrejesho tu unayemloga kashafika huku kupata kinga konki.
Ukidunda hata Jf hurudi tutasimuliwa.
 
Basi ngoja niwapatie kisa flani hivi..
Mwaka 2019 niliibiwa simu zangu kama 3 hivi...(kila moja ilikuwa na matumizi yake ikiwemo ya shughuli za dukani).
Basi nikaelekezwa kwenda pale makanya sehemu inaitwa nkwini. Nimefika mzee akaniambia utazipata tu.
Basi akanipigisha kambi kama siku 3 kwake ila usiku wa manane ananiamsha tunatoka nje kuna upande tunasimama halafu kuna maneno anaongea na mimi ananiambia niongee maneno flani.
Basi akaniambia nikanunue mbuzi wale wa rangi za brown na kuku wa nkama sijui. Kwa ajili ya kuniangalia matatizo yangu lakini pia itolewe kama sadaka yani watu waitwe wale na chakula kipikwe.
Basi siku ya mnada wa makanya j5 tukaenda na mwanae ikantoka kama 80 elfu hivi kununua mbuzi na jogoo.
Basi akamchinja yule mbuzi akachukua utumbo wake akawa anaangalia vitu flani.
Kupitia ule utumbo aliniambia anaona msiba kwenye familia yangu ila sio mimi nitakaekufa
Pia anaona nina nyota ya hela na kuna utajiri mkubwa mbeleni (sasa sijawa tajiri ila mtaji upo mahali unakuja na nishauzoom).
Na sijalogwa sema ni matatizo tu madogo madogo ambayo mengine niliyasababisha mimi mwenyewe na kuna jambo akanilataza nisilofanye kwani litaharibu baraka zangu na malaika wanaonilinda watachukia.
Pia aliniambia jambo lingine ambalo sijalitaja nalo likawa vile vile.
Kingine akaniambia mwanaume niliye naye japo ninampenda sana hanifai kabisaa na atanisumbua sana mbeleni.

Haya yote aliyoyasema yalitimia kwa asilimia 100% na simu nilikuja kuzipata na aliyenikaba kwakuwa sura nilimkumbuka ndo alikamatwa (yani aliiba June 2019 akaja kukamatwa October 2019) akalipa gharama zote.

Sema huyu mzee mganga kwa jina la Wandile alikuja kufa na korona mwaka jana mwanzoni.
Ila alikuwa hatarii
So waganga wapo na wana maajabu watu muache ubishi
Waganga wapo,
Huo uganga wa dua inatumika quran.
Mara nyingi hawakosei,na hata hela unayotoa kwa mahitaji inatumika kihalali tu.
Ila nilichoka siku namfata mganga wangu tumezoeana sana aisee kanipa gahawa nitulie akanionyesha double coaster 3 zinapiga mzigo mjini hapo enzi hizo.🤣🤣🤣.
Akaniambia kastaafu kazi hiyo,ila kwaajili yangu atamkabidhi mama(mkewe anipe huduma).
Aisee nilijiona fala sana.
Ila nikakumbuka sijawahi kumpa hela kubwa.
Alisema lakini wateja wako nje huko ndo wamemfikisha hapo.
 
Dada nakuunga mkono
Ukipata nisaidie na mimi.
Nimedhulumiwa mil 5.4 walionidhulumu wanadunda tu mjini na wanajibu kunya.

Ninaweza kuwafata front ila nahofia matokeo yake maana nina familia, haitapendeza wanangu na mke wangu kuja kuniona jela, majukumu yangu atatimiza nani.

Tafadhali ukipata usinisahau.
Ukiwa na nafasi nicheki.
na kama uko mwanza basi itakuwa rahisi.

Sina mengi ya kuongea
 
Waganga wapo,
Huo uganga wa dua inatumika quran.
Mara nyingi hawakosei,na hata hela unayotoa kwa mahitaji inatumika kihalali tu.
Ila nilichoka siku namfata mganga wangu tumezoeana sana aisee kanipa gahawa nitulie akanionyesha double coaster 3 zinapiga mzigo mjini hapo enzi hizo.🤣🤣🤣.
Akaniambia kastaafu kazi hiyo,ila kwaajili yangu atamkabidhi mama(mkewe anipe huduma).
Aisee nilijiona fala sana.
Ila nikakumbuka sijawahi kumpa hela kubwa.
Alisema lakini wateja wako nje huko ndo wamemfikisha hapo.
Wapo waganga matajiri pia
 
Back
Top Bottom