Kaka Jose1
Member
- Feb 12, 2022
- 15
- 25
Hizo ndo habari za maana sasa. Lete connection bas kama unajua sehemu na mganga mwenyewe basiInaelekea ni mtu aliyekata tamaa(money by any means) . Unakumbuka kuna mtu aliyeambiwa atupe kamba ziwani halafu aivute taratibu bila kuangalia nyuma? Aligeuka kwa ujanja akakuta anamburuza mama mzazi, aliachia kamba na kukimbia. Wakati huo mama yake alikuwa hoi nyumbani, kuachia kamba ndio kupona kwa mama. Unayataka haya?. Ila angeua mama yake kwa style ile angekuwa tajiri!!