Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Njombe kwa wakinga huko walikuwepo Mwakipande na Mwandulami, wote walishatangulia, kwa sasa sijui ni wapi ?

Ila utaweza masharti yao hata ukiwapata ???? hata hao waganga wenyewe utaalam wao ni kukuitia mashetani yenye pesa na kuwa mkalimani wa pande mbili !! Kazo yao ni kuandaa kikao tu hicho, ila maamuzi ni yako na pesa utapewa na mashetani, Mganga yeye atakuwa anakufafanulia tu, ukishaingia huo mkataba ni wewe na mashetani, sio mganga tena.

Hizo pesa hata waganga wanaweza kuzipata ila wanaziogopa, wao wanachotaka huwa ni hela za kawaida tu za kuwakutanisha wewe na hao mashetani, hawataki kabisa kuzisikia hizo pesa maana ni zaidi ya mateso.

Mziki wa hizo pesa sio poa hata kidogo, Mashetani sio ya kuyaamini hata kidogo na yanafurahi ukiteseka, utaambiwa uanze kafara ya kuku ila kwa maksudi baada ya miezi 6 tu utaambiwa uuwe mtoto, huwezi kulalamika kwasababu ni mashaetani hayo, kwao kuteseka kwako ndio wanachopenda, sio muda utaambiwa uwe unalala chini hapo ndio mashetani yanafrahi.
 
Back
Top Bottom