Asante sana mkuu. nitajaribu kuangalia option ya JKT ingawa kwa US fees zao ni kubwa sana. Ni salama kabisa, ingawa najaribu kumwandaa mapema ili aweze kuikabiri Dunia once am gone...Mpeleke jkt au apply US huko Kuna wabongo na Waafrika Wengi wanajiunga kwenye vitu hivyo
Mkuu Kuna usalama lkn asijebaadae kusumbua kutaka ajira kijeshi..
shukrani mkuu. unaweza kuniwekea links angalau nifuatilie...thanks in advanceKwa hapa africa labda djibouti
Huyu anataka military training.. just the basics...Kwanza eleza sababu za ww kutaka kitu hicho kwa maana mafuzo ya kijeshi yapo ya aina mbili
1 Mafunzo ya ukakamavu (military training)
2 Mafuzo ya Elimu ya kijeshi na utambuzi (Military intelligence)
Ww unataka yapi na pia kwa matumizi gani?
Kwanza eleza sababu za ww kutaka kitu hicho kwa maana mafuzo ya kijeshi yapo ya aina mbili
1 Mafunzo ya ukakamavu (military training)
2 Mafuzo ya Elimu ya kijeshi na utambuzi (Military intelligence)
Ww unataka yapi na pia kwa matumizi gani?
Kama military training JKT wanafanya Scouts wanafanya Mgambo wanafanya huko kote mafunzo ya military na paramilitary training yanapatikanaHuyu anataka military training.. just the basics...
mkuu, ningependa yote kama ulivyoanisha hapo juu. bahati mbaya sisi wakati tupo vijana hatukupata fursa kama hizi na siwezi laumu sana...kwa kuwa dogo umri unaruhusu, akipata mafunzo kama, Threat assessment and risk analysis, Firearms Training - Single operative (Pistol & Carbine), Land warfare: force-on-force with the use of FX Simunition and Advanced Firearms Training - Live Fire contatct Drills with VI na nyingine nyingi itapendeza. na ni kwa nia njema tu.Kwanza eleza sababu za ww kutaka kitu hicho kwa maana mafuzo ya kijeshi yapo ya aina mbili
1 Mafunzo ya ukakamavu (military training)
2 Mafuzo ya Elimu ya kijeshi na utambuzi (Military intelligence)
Ww unataka yapi na pia kwa matumizi gani?
Wana board, Heshima kwenu!
wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awarehemu na kuwalaza mahala pema peponi. Amen!
Pia, kwa kuwa JF ni kisima cha fikra na maarifa ningependa kujuzwa kama kuna military academy nchini Tanzania or kwenye nchi jirani kwa ajili ya private military training. Natafuta chuo cha kijeshi kwa ajili ya first born wangu ambaye amemaliza chuo mwaka jana. sikutaka aanze kazi kwa sababu maalum...natanguliza shukrani.
Kwanza eleza sababu za ww kutaka kitu hicho kwa maana mafuzo ya kijeshi yapo ya aina mbili
1 Mafunzo ya ukakamavu (military training)
2 Mafuzo ya Elimu ya kijeshi na utambuzi (Military intelligence)
Ww unataka yapi na pia kwa matumizi gani?
asante sana mkuu, nitarifanyia kazi. ubarikiweJaribu kuangalia Sandhurst UK na West Point cha US, ingawa wanatoa mafunzo kwa askari kutoka nchi tofauti lakini kuna watu wanaenda kama private especially kutoka Middle East na nafahamu PKagame mwanae alimpeleka West Point ili akajifunze ukakamavu pia
Kwa Tanganyika mafunzo hayo yanatolewa na Taasisi za Ulinzi na Usalama na ukipata mafunzo hayo ni lazima utakuwa ni mmoja wao tofauti na wenzetu ambao mafunzo ya kijeshi na ukakamavu ni sehemu ya mafunzo ya kawaida kabisa na kuna vyuo vinafundisha hasa vyuo vya VIP Protection Collegemkuu, ningependa yote kama ulivyoanisha hapo juu. bahati mbaya sisi wakati tupo vijana hatukupata fursa kama hizi na siwezi laumu sana...kwa kuwa dogo umri unaruhusu, akipata mafunzo kama, Threat assessment and risk analysis, Firearms Training - Single operative (Pistol & Carbine), Land warfare: force-on-force with the use of FX Simunition and Advanced Firearms Training - Live Fire contatct Drills with VI na nyingine nyingi itapendeza. na ni kwa nia njema tu.
Fafanua mkuu. Ugaidi? how...Private military training ni ugaidi mkuu! [emoji32][emoji32][emoji32]