Natafuta Military Academy for Private Military Training

Natafuta Military Academy for Private Military Training

Private military training ni ugaidi mkuu! [emoji32][emoji32][emoji32]

Una maana gani kusema hivyo?, vijana wote wa six waliopota jeshini JKT nao ni magaidi? Sijui KJT ya siku hizi, ya zamani ya mwaka kisha miezi sita ukitoka ni Askari kamili,
vpi kuhusu wanaocheza mgambo? si wengi tu wapo mtaani? wako mtaani na wako vizuri kwenye taaluma za kijeshi
 
interesting...unavifahamu vyuo hivyo nchini Israel? una link yao? thanks mkuu
Kipo kimoja kina branch South Africa Golani au kingine cha South Afrika Bastion training Academy. Tatizo huko huyo dogo akikoswa kazi lazima awe hasara kwa jamii. Wazo lako zuri kwa wajasiliamali waombe kibali serikalini wafungue Academy kama za kizalendo ambazo hazihusishi silaha lkn zinaandaa vijana kuishi popote Bila hofu. Makanisa kama SDA walikuwa na program za ukakamavu kwa vijana wao wanajifunza gwaride, first aid, maisha ya porini mfano kuwasha moto Bila kibiriti, hiking, camping, na mambo mbalimbali ambayo yanamfanya kijana asiwe mlalamishi Bali mbunifu popote aishi Bila wasiwasi. Kuhusisha silaha au mbinu za kijeshi Kwa nchi zetu ambazo bado ni changa na mauzi ni mengi dogo anaweza kutusumbua baadae. Nakushauli utafute taasisi zinazofundisha ukakamavu Bila kuhusianisha na mambo ya kijeshi au kama ni ya kijeshi basi yale ya kunoa nidhamu yake na umakini wakiakili
 
Kwa maelezo yako kwann wewe mwenyewe usianzishe chuo chako cha kijeshi maana naona hadi curriculum unayo tayari...mzee wewe itakuwa commandoo unataka kumfundisha mwanao mbinu za kijeshi kuwa wawili muje kufanya mapinduzi....nahisi kina Fidel Castro wanaandaliwa kuja kufanya mapinduzi Tanzania. ...
Haha haha Jf hakika ni stress free zone! We Jamaa umenichekesha.
 
huko wanasoma/ ku-train mafunzo kama Land warfare: force-on-force with the use of FX Simunition pamoja na Advanced Firearms Training - Live Fire contactt Drills? kama una taarifa kamili ya kozi wanazosoma JKT ninaziomba kama hutojali...bless up
Ila Mkuu Prof kwa uandishi wako huo Mbona unaonekana wewe Mwenyewe ni Mjuvi sana na Unayo exposure yakutosha Juu ya hayo mambo?

How Possible ushindwe kujua hicho unachouliza for such exposure?

Is this an investigative task?!

Provoking for a certain intended reasons?!!

Haha haha haaaaaaa! Nyie "wawa" your so intelligence an strategic....[emoji12]
 
Mpeleke Uganda kule kuna Aegis Defence Services ambao wana recruit na kufundisha private security personnel na akipenda anaweza hata kupelekwa Iraq akajinoe dhidi ya ISIS.
 
Wana board, Heshima kwenu!
wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awarehemu na kuwalaza mahala pema peponi. Amen!

Pia, kwa kuwa JF ni kisima cha fikra na maarifa ningependa kujuzwa kama kuna military academy nchini Tanzania or kwenye nchi jirani kwa ajili ya private military training. Natafuta chuo cha kijeshi kwa ajili ya first born wangu ambaye amemaliza chuo mwaka jana. sikutaka aanze kazi kwa sababu maalum...natanguliza shukrani.
Mpeleke Somalia
 
Sandhurst UK mkuu ila hata pale kunduchi wana madarasa ya raia pia wana incorage watu wakasome
 
Wana board, Heshima kwenu!
wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awarehemu na kuwalaza mahala pema peponi. Amen!

Pia, kwa kuwa JF ni kisima cha fikra na maarifa ningependa kujuzwa kama kuna military academy nchini Tanzania or kwenye nchi jirani kwa ajili ya private military training. Natafuta chuo cha kijeshi kwa ajili ya first born wangu ambaye amemaliza chuo mwaka jana. sikutaka aanze kazi kwa sababu maalum...natanguliza shukrani.
Waone ccm wana green guard, Chadema wana red brigade na cuf wana guard yao nimesahau jina. Watakusaidia
 
I think ujaribu kenya waweza pata. Kuna rafiki yangu mjeshi alisoma huko kabla hajajiunga jeshi
 
Ila Mkuu Prof kwa uandishi wako huo Mbona unaonekana wewe Mwenyewe ni Mjuvi sana na Unayo exposure yakutosha Juu ya hayo mambo?

How Possible ushindwe kujua hicho unachouliza for such exposure?

Is this an investigative task?!

Provoking for a certain intended reasons?!!

Haha haha haaaaaaa! Nyie "wawa" your so intelligence an strategic....[emoji12]
hapana mkuu, ni kwa nia njema tu. mimi wakati wangu ulishapita. nataka nimwandae dogo huyu ili naye akaitumikie jamii kwa ukamilifu. kama unajua vyuo hivyo mkuu, nisaidie hata link yao. kuna jamaa ameniambia kuwa djibouti kuna military academy ila nimejaribu kutafuta info lakini sijazipata ninazotaka.
 
Kipo kimoja kina branch South Africa Golani au kingine cha South Afrika Bastion training Academy. Tatizo huko huyo dogo akikoswa kazi lazima awe hasara kwa jamii. Wazo lako zuri kwa wajasiliamali waombe kibali serikalini wafungue Academy kama za kizalendo ambazo hazihusishi silaha lkn zinaandaa vijana kuishi popote Bila hofu. Makanisa kama SDA walikuwa na program za ukakamavu kwa vijana wao wanajifunza gwaride, first aid, maisha ya porini mfano kuwasha moto Bila kibiriti, hiking, camping, na mambo mbalimbali ambayo yanamfanya kijana asiwe mlalamishi Bali mbunifu popote aishi Bila wasiwasi. Kuhusisha silaha au mbinu za kijeshi Kwa nchi zetu ambazo bado ni changa na mauzi ni mengi dogo anaweza kutusumbua baadae. Nakushauli utafute taasisi zinazofundisha ukakamavu Bila kuhusianisha na mambo ya kijeshi au kama ni ya kijeshi basi yale ya kunoa nidhamu yake na umakini wakiakili
mkuu, asante sana kwa ushauri mzuri. nitaufanyia kazi...dogo amesoma B.A- Economics. kwa kuwa ni first born, bado anao wadogo zake ambao bado ni wadogo. kama mzazi nili-discuss naye na mama yake pia. niliweza ku-share naye risk zilizopo na faida pia na aina ya mtu atakuwa kwenye jamii. Malengo ni kupata course ya kijeshi isiyopungua miezi 9. harafu afanye kazi hata mwaka mmoja kama private military contractor( at least 1 year) . baada ya hapo arudi kwenye kufanya kazi ya taaluma yake(Uchumi) kwa muda usiopungua miaka 2. then aache kazi kwa ajili ya kuanzisha miradi yake mwenyewe. akifikia hapo, nitam-release rasmi aanze kujitegemea. (Haya ndo makubaliano na maono ya Familia)...bless up
 
Back
Top Bottom