We jamaa sio mtu mzuri hata kidogo. Naona una nia ovu [emoji23][emoji23][emoji23]We mzee unampoteza mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23] mwambie aje Miami hapo
ππ Kwani hakufai pale Miami au tumpeleke kwenye kash kash vurugu muda wote kumwagana ubongo dk zero tu Detroit πWe jamaa sio mtu mzuri hata kidogo. Naona una nia ovu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Usituletee Corona mkuu baki huko huko!Umofia kwenu wakuu!
Ambao mna uzoefu mkubwa na maeneo (miji midogo) ya nchi hii. Naomba ushauri au mapendekezo, ni mji gani mdogo naweza kwenda kukaa kwa muda wa mwezi mmoja (brain recharging)
Uwe ni mji mdogo, uliotulia kwa mandhari na hali ya hewa, ambao jioni naweza enjoy evening walk, uwe ni mji salama, na wenye vyakula vizuri vya asili, kwa mfanano mzuri think of somewhere like Lushoto (Lushoto ndio kwetu so don't mention)
Binafsi nimewaza kwenda Tarakea Rombo, lakini naona ni vyema nipate mawazo kwa wadau. N.B, iwe ni sehemu yenye nyumba za wageni ambazo ni classic.
Asanteni.
View attachment 1412207
halafu Satoshi Nakamoto na umuofia wapi na wapi bhana!...ulitakiwa uje hapa na Konichiwaaa...πUmofia kwenu wakuu!
Ambao mna uzoefu mkubwa na maeneo (miji midogo) ya nchi hii. Naomba ushauri au mapendekezo, ni mji gani mdogo naweza kwenda kukaa kwa muda wa mwezi mmoja (brain recharging)
Uwe ni mji mdogo, uliotulia kwa mandhari na hali ya hewa, ambao jioni naweza enjoy evening walk, uwe ni mji salama, na wenye vyakula vizuri vya asili, kwa mfanano mzuri think of somewhere like Lushoto (Lushoto ndio kwetu so don't mention)
Binafsi nimewaza kwenda Tarakea Rombo, lakini naona ni vyema nipate mawazo kwa wadau. N.B, iwe ni sehemu yenye nyumba za wageni ambazo ni classic.
Asanteni.
View attachment 1412207
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mpeleke tu ila tambua sihusiki na madhara yatakayo jitokeza. At your own discretion.[emoji23][emoji23] Kwani hakufai pale Miami au tumpeleke kwenye kash kash vurugu muda wote kumwagana ubongo dk zero tu Detroit [emoji23]
πππ We sindio mtoa visa huusiki kivipi hapo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mpeleke tu ila tambua sihusiki na madhara yatakayo jitokeza. At your own discretion.
Sent using Jamii Forums mobile app
I see usinitafutie shida na waungwana. Kila mtu akapambane pale msasani road. Jaribu kwenda utalia mzee[emoji23][emoji23][emoji23] We sindio mtoa visa huusiki kivipi hapo?