Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umofia kwenu wakuu!
Ambao mna uzoefu mkubwa na maeneo (miji midogo) ya nchi hii. Naomba ushauri au mapendekezo, ni mji gani mdogo naweza kwenda kukaa kwa muda wa mwezi mmoja (brain recharging)
Uwe ni mji mdogo, uliotulia kwa mandhari na hali ya hewa, ambao jioni naweza enjoy evening walk, uwe ni mji salama, na wenye vyakula vizuri vya asili, kwa mfanano mzuri think of somewhere like Lushoto (Lushoto ndio kwetu so don't mention)
Binafsi nimewaza kwenda Tarakea Rombo, lakini naona ni vyema nipate mawazo kwa wadau. N.B, iwe ni sehemu yenye nyumba za wageni ambazo ni classic.
Asanteni.
View attachment 1412207
Siku zote nimewaza hivyo. Tena sio Lushoto mjini, ingia mpaka ndani huko kama Shume
Nenda Dodoma HUTAJUTIA KWA BEACH KALI ZENYE UPEPO MWANANA TOKA ATLANTIC OCEAN
Sent using Jamii Forums mobile app