Natafuta mke asiyezaa

Usiwe na shida ya kupunguza uwezekano wako wa kupata mke anayekufaa, wewe unaweza kufungwa kizazi kwa kufanyiwa operation ndogo sana inayoitwa VASECTOMY.
Baada ya hapo unaoa mwanamke yeyote atakayekuelewa kuwa huhitaji na huna uwezo wa kuzalisha.
Kutafuta mwanamke atakayekufaa, aliyetolewa kizazi ni kazi ngumu zaidi.
 
Kuna kamoja kapo ukerewe huko kazuri ila ni maharage ya mbeya,afu umri bado hata 25 hakajafika,sina namba yake lakin

Sijui kwanini wanawake wengi wasio zaa wanapendaga kugegedwa sana,sjawah kuona aliekituliza
 
Huyo atanifaa mie yaani nikupelekeana moto tuu
 
Haina madhara hiyo operation?
Na je inagharimu sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…