Natafuta mke asiyezaa

Natafuta mke asiyezaa

Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.

Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.

Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.

Kuhusu umri, Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
sio jokes nipo siliasi.
Usiwe na shida ya kupunguza uwezekano wako wa kupata mke anayekufaa, wewe unaweza kufungwa kizazi kwa kufanyiwa operation ndogo sana inayoitwa VASECTOMY.
Baada ya hapo unaoa mwanamke yeyote atakayekuelewa kuwa huhitaji na huna uwezo wa kuzalisha.
Kutafuta mwanamke atakayekufaa, aliyetolewa kizazi ni kazi ngumu zaidi.
 
Kuna kamoja kapo ukerewe huko kazuri ila ni maharage ya mbeya,afu umri bado hata 25 hakajafika,sina namba yake lakin

Sijui kwanini wanawake wengi wasio zaa wanapendaga kugegedwa sana,sjawah kuona aliekituliza
 
Huyo atanifaa mie yaani nikupelekeana moto tuu
 
Usiwe na shida ya kupunguza uwezekano wako wa kupata mke anayekufaa, wewe unaweza kufungwa kizazi kwa kufanyiwa operation ndogo sana inayoitwa VASECTOMY.
Baada ya hapo unaoa mwanamke yeyote atakayekuelewa kuwa huhitaji na huna uwezo wa kuzalisha.
Kutafuta mwanamke atakayekufaa, aliyetolewa kizazi ni kazi ngumu zaidi.
Haina madhara hiyo operation?
Na je inagharimu sh ngapi?
 
Back
Top Bottom