Natafuta mke bikra

Natafuta mke bikra

Erick11

Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
22
Reaction score
39
Habari za majukumu ndugu zangu wote!

Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA.

Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya 18-24 hivi, Mimi na 36yrs.

Naomba kwa anayejua mikoa ambayo wapo Bikra wengi au anayemfahamu yeyote Bikra basi anisaidie, ama kama kuna mwenye hiki kigezo hapa naomba njoo PM tufahamiane, pamoja na kigezo cha Bikra lakini awe pia na vigezo vya kuwa mke (wife material) and beautiful 😍 😍!! Yeah beautiful sababu hii ndiyo main key ya kufanya nikupende na Tu enjoyable maisha bila cheating.

Wengi nadhani mtakuwa mmenielewa, kama nitakosa Bikra angalau nipate ambaye hajawa na ma x zaidi ya 2, ( hapa najua mwenyewe namna nitahakikisha)
 
Habari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya 18-24 hivi, Mimi na 36yrs. Naomba kwa anayejua mikoa ambayo wapo Bikra wengi au anayemfahamu yeyeote Bikra basi anisaidie, ama kama kuna mwenye hiki kigezo hapa naomba njoo PM tufahamiane, pamoja na kigezo cha Bikra lakini awe pia na vigezo vya kuwa mke (wife material) and beautiful 😍 😍!! Yeah beautiful sababu hii ndiyo main key ya kufanya nikupende na Tu enjoyable maisha bila cheating.

Wengi nadhan mtakuwa mmenielewa, kama nitakosa Bikra angalau nipate ambaye hajawa na ma x zaidi ya 2, ( hapa najua mwenyewe namna nitahakukusha)
Siku ukimpata unistue na mm nichukue mmoja
 
Back
Top Bottom