Natafuta mke daktari

Natafuta mke daktari

leftright

Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
24
Reaction score
12
Habari, natafuta mke wa kuoa,
  • awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing)
  • mwembamba
  • Miaka hadi 28
  • Awe anakaa na ni raia wa TZ
  • Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi kuolewa
Sifa zangu
  • Mkristo
  • Mrefu
  • Mchaga
  • Nimeajiriwa (+4years now)
  • Nakunywa pombe
  • Siko vibaya sana kimaisha
  • Sina mtoto
  • Sijawahi kuoa
Tumia jfspecific@gmail.com kwa mawasiliano, nipo tayari kujibu maswali yoyote.
 
Back
Top Bottom