leftright
Member
- Apr 22, 2018
- 24
- 12
Habari, natafuta mke wa kuoa,
- awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing)
- mwembamba
- Miaka hadi 28
- Awe anakaa na ni raia wa TZ
- Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi kuolewa
- Mkristo
- Mrefu
- Mchaga
- Nimeajiriwa (+4years now)
- Nakunywa pombe
- Siko vibaya sana kimaisha
- Sina mtoto
- Sijawahi kuoa