Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una dili la kuiba vifaa vya hospitalini?
Nawe ni medical personnel?
Acha uongo bhanamimi simjui huyo uliyemuandika hapo ila na mimi nahitaji mke daktari hvyo kuepusha usumbufu wa kurudia rudia post nikaona bora nitumie fursa hii hii kujinadi kuokoa muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila yeye anakujua
alaaaaahh kumbe wewe ndio joanah wa jamii forum eeehhh!!!!.Acha uongo bhana
We kubali tu umechanganya mambo
Hata hivyo kuwa na IDs nyingi sio dhambi
alaaaaahh kumbe wewe ndio joanah wa jamii forum eeehhh!!!!.
habar zako kupitia wadau humu huwa nazisoma sana tena wale wazito wazito au matembo,sijui huwa unafawanya nini tu-wewe mdada na nilizanigi siku hz haupogo humu kutokana na ustaar wako kumbe upo aisee na really joanah exist.
hili ni bonge moja la zari.
ila tu nitumie fursa hii kukushukuru tu kwa ku-comment-comment yangu maana wewe ki jf jf ndio ALIKIBA wetu hvyo sio masihara,wengine wanaitafuta nafasi hii wanaikosa.
alafu siku nyingine usirudie kuniita me muongo,
kwa heshima yako narudia kusema kwamba hizo ni account mbili zinazotumiwa na watu wawili tofauti na si mmoja.
alafu hv umaarufu wako humu JF-naomba unijuze kama hautajali ni ulitokana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mke Dr aje akutibu corona nn au akuambukize corona kabisa!
umenikosea sana ku-reply comment fupi kiasi hichoUmenikosea sana kunifananisha na Ali Kiba
Fanya haya..
Jitahidi upate gonjwa lolote hatari la kudumu..
( Lakn lisiwe Ngoma )
hudhuria clinic kila wakati. Siku / Week / mwezi
Tafuta dokta wa kike kwa msaada na ushauri wa kila wakati.
Jenga mazoea na huyo dokta..
Mtongoze..
Kisha njoo unishukuru..