Natafuta mke huku chit chat..napokea maombi..

Natafuta mke huku chit chat..napokea maombi..

Jana nilishindwa baada ya kutumiwa maombi tele pm.......hata hivyo wa pm nimewa disqualify....so leo ntamtangaza mshindi hapa hapa stay tuned
 
baada ya mchujo mkali na kulazimika kila mara kusogeza mbele niseme sasa natangaza top three
kesho natangaza mshindi.........

hawa wamefika top three...haikuwa kazi rahisi kwa kweli
caven dish TATIANA Eshy m.s ....... sasa stay tuned kesho namtangaza mtoto ..mbebes wa ukweli
 
Last edited by a moderator:

Siamini kama nimechujwa hivi hivi.Ok next time ukiongeza mwingine nitajitahidi nikidhi vigezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom