sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
Mnhh unatia shaka..driver una tamani mali..za boss..
Mnhh unatia shaka..driver una tamani mali..za boss..
Nasubir kwa ham
Jana nilishindwa baada ya kutumiwa maombi tele pm.......hata hivyo wa pm nimewa disqualify....so leo ntamtangaza mshindi hapa hapa stay tuned
baada ya mchujo mkali na kulazimika kila mara kusogeza mbele niseme sasa natangaza top three
kesho natangaza mshindi.........
hawa wamefika top three...haikuwa kazi rahisi kwa kweli
caven dish TATIANA Eshy m.s ....... sasa stay tuned kesho namtangaza mtoto ..mbebes wa ukweli
sasa mbona umekuja late mrembo?