Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu.
Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi.
Sina tattoo wala mchoro wowote.
Ni mkristo na Rastafari
Ni mrefu wa futi 6.2
Nahitaji mwanamke ambaye ni mkubwa kwangu kuanzia miaka 30 na kuendelea anidekeze na kunipenda sana.
Awe DSM au kama ni mkoani basi ajimudu nauli yake atakaa kwangu akija.
Rangi yoyote tu japo kama amewahi au anajichubua HAKIKISHA HUNITAFUTI
Ukiwa single mom nakupokea sawa tu ila uwe na death certificate ya baba mtu au kama bado yu hai njoo na kiapo cha mahakama kuwa hutokuja kuwasiliana naye au kumpeleka mtoto akamsalimie.
Uwe na elimu yoyote tu na ujue kutofautisha kati ya R na L

Kwa mtindo huu Haina haja ya katiba mpyaMimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu.
Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi.
Sina tattoo wala mchoro wowote.
Ni mkristo na Rastafari
Ni mrefu wa futi 6.2
Nahitaji mwanamke ambaye ni mkubwa kwangu kuanzia miaka 30 na kuendelea anidekeze na kunipenda sana.
Awe DSM au kama ni mkoani basi ajimudu nauli yake atakaa kwangu akija.
Rangi yoyote tu japo kama amewahi au anajichubua HAKIKISHA HUNITAFUTI
Ukiwa single mom nakupokea sawa tu ila uwe na death certificate ya baba mtu au kama bado yu hai njoo na kiapo cha mahakama kuwa hutokuja kuwasiliana naye au kumpeleka mtoto akamsalimie.
Uwe na elimu yoyote tu na ujue kutofautisha kati ya R na L
🤔🤔🤔🤔🤔, getho la kodi ya 40k ndo ipi hiyo??Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi.
Kulikoni tena,Rangi yoyote tu japo kama amewahi au anajichubua HAKIKISHA HUNITAFUTI
Nina kitu gani binti kiziwi?Una kitu utafika mbali, Kikubwa ongeza juhudi kama unafanya kazi au biashara.
haya bhanaWw natafuta mshamgazi wa kukulea wa siyo mke hapo
Nikipanga chumba cha sh ngapi ndio niwe na haya masharti?Hela huna ila masharti sasa😂😂 chumba cha elfu 40 afu unajichagulia aina ya singo maza mxiew🙄
NItafurahi nikimpataAje akudekeze kwenye ghetto la 40K
Maelezo yote yamenyooka sana