Natafuta mke tutakaye-adopt watoto pamoja naye

Mambo naomba
 
 
Endelea kumtumainia mola, nakumbuka kuna mtu aliambiwa hivyo ila mwanamke wake alipata mimba hadi alifikiri amesingiziwa mimba..mtoto alitoka kama alivyo.

Pole na nakutakia kila la kheri katika yote.
 
Pole sana Mkuu, Mungu Mkubwa usikate tamaa
 
m
mi niko tayari nitafute tutazungumza naamini tutafikia muafaka kama kweli uko serious naamin tutajenga familia kwa Mungu hakuna kinacho shindikana
 
Pole sana, lkn mbona hilo tatizo la low sperm count linatibika? Halafu kwa nn usioe mtu akampa mkeo mimba ukalea kuliko ku-adapt? Njoo pm nikupe dawa.
 
Pole sana Mimi kama utaniridhia nipo tayari ila ni single mother Wa mtoto mmoja kama utaridhia sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mimi kama utaniridhia nipo tayari ila ni single mother Wa mtoto mmoja kama utaridhia sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmm! Ila hata na ww Doris, nakuombea kwa Mungu akuhifadhi na kukulinda kwenye kiganja chake cha mkono wake. Nikisomaga michango yako, naona umeonewa sana katika mahusiano, Mungu akupe uvumilivu na hitaji la moyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We need people like you in this forum. Big up!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…