Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

Kigezo namba Moja kimenitoa kwenye reli,,,
Kigezo namba 8 kimenishangaza.
Kigezo namba 11 kimenichekesha.....Ila atasubiri sana kupata mke Kwa vigezo vyake hivyo labda aombe UTUMISHI wamsaidie kutangaza😁😁😁
Jamani si mlisema mki pata went hela, mshikamane 😂🤣
 
Sifa za mke:

1. Awe muslim
2. Umri chini ya miaka 30
3. Mweupe na urefu wa katikat
4. Umbo la kuvutia
5. Awe tayari kuwa msimamizi wa biashara za familia na sio zake binafsi
6. Asiwe mkali na hasira hasira
7. Awe tayari kupima afya
8. Awe msikivu kwa mmewe, na kauli yangu ndo mwisho
9. Awe tayari kuwa na watoto wawili tu
10. Asiwe na maisha ya kujikweza
11. Awe ni mtu wa kujari mme , ata nispomwambia kitu aweze kujiongeza. Mf: nikiwa job night aweze kuniandalia chai ya tangawizi au maziwa bila kuniambia kwa kifupi ajali mme
12. Awe na malengo makubwa ya kimaisha
13. Akiwa na mtoto mmoja au huna mtoto kabisa itapendeza

sifa zangu:

1. Sio mrefu wala mfupi
2. Mwislam
3. Mfanyabiashara
4. Muajiriwa taasisi binafsi
5. Mfugaji wa kati
6. Muwekezaji wa kila siku
7. Miwezi kumnyanyasa mwanamke lakin pia, siwezi kumzuia aondoke kama ameona hatuendani
8. Mpole sana na sipendi kununiwa muda mrefu
9. Mina watoto wawili ndani ya ndoa iliyovunjika mwaka jana
10. Nina miaka 29
11. Sina hela cash, zote ziko busy lakin pia sio maskini

Nimepanga sijajenga: niko Songwe kwa sasa, lakini natarajia kuishi Kigamboni

Kwa aliye serious tu, aje PM na awapende wanangu wawili.

Ahsante.
nakutakia kila la kheri katika hilo, hakikisha unafanya ibada kila mara na kumshirikisha Allah katika kila hatua 🐒
 
Mchagua jembe si mkulima....vigezo vyote 20 vya kazi gani
FB_IMG_17084240850773909.jpg
 
muda mwingine sio hadi, vifike vyote niko busy ndo maana nimefika hapa lakin vinginevyo ningemaliza mjini hapahap
 
Back
Top Bottom