Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
kaaandika๐๐๐Huyo anataka jini sio mke wa kibinadamu mahi ๐๐๐๐
Azungukie baharini atampata
et hela nnazo sio cash zipo busy mie heee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaaandika๐๐๐Huyo anataka jini sio mke wa kibinadamu mahi ๐๐๐๐
Azungukie baharini atampata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] li siredi lote hilo umeona hapo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐ Mjini cash inatakiwa, hizo zilizokuwa mashambani tutamsubiri kipindi cha mavuno bana weehkaaandika๐๐๐
et hela nnazo sio cash zipo busy mie heee
Yeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaโฆ..Eti ujiongeze umpikie chai ya mdalasini usiku bila kuambiwa au umuandalie maziwa
Huo muda usiku wa kuandaa chai ya mdalasini tunaupata wapi?insta na JF zitasomwa na nani?๐๐๐๐Yeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaโฆ..
Hao wanawake walikuwepo enzi za mjerumani ๐๐๐๐
Si ndio hapo?? Siku hizi tunabebishana wallet ikijaa au tarehe za mshahara ๐๐๐๐Vigezo viwe vi
Huo muda usiku wa kuandaa chai ya mdalasini tunaupata wapi?insta na JF zitasomwa na nani?๐๐๐๐
Ana mpango tuanze kusema Turmeric body oil fake huyu au sio?Si ndio hapo?? Siku hizi tunabebishana wallet ikijaa au tarehe za mshahara ๐๐๐๐
Niandae chai nikiungua na rangi yangu ya kucha ibanduke kisa na mkasa!!!
Kwanza ngozi ya kuishindisha jikoni kuandaa chai iko wapi?? Nitaharibu skin routine yangu ngozi ishindwe ku glow bure ๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Mjini cash inatakiwa, hizo zilizokuwa mashambani tutamsubiri kipindi cha mavuno bana weeh
mke wa hivyo atampata kwenye mali kale hukoYeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaโฆ..
Hao wanawake walikuwepo enzi za mjerumani ๐๐๐๐
Anataka tuanze kugombana na wauzaji mafuta ๐๐๐Ana mpango tuanze kusema Turmeric body oil fake huyu au sio?
๐๐๐ akwendreee zakemke wa hivyo atampata kwenye mali kale huko
Mimi Bora mnunaji kuliko mbwatukaji.Napenda kununa. Nitamkwaza mtarajiwa
Simfai ๐คฃ๐คฃ
Huu usajiri nimeupenda vigezo hivyo alienavyo hajui hata kutumia smartphone beki 3 kwenye nyumba fulani mda huu anatawaza watoto, hawa wabandika kope za bandia hivyo vigezo hawanaKama ulimwacha wa kwanza, na wa pili ajiandae!!