Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

11. Awe ni mtu wa kujari mme , ata nispomwambia kitu aweze kujiongeza. Mf: nikiwa job night aweze kuniandalia chai ya tangawizi au maziwa bila kuniambia kwa kifupi ajali mme

Ahsante.
john kisomo are you resious? i mean serious 🤣 🤣 🤣 🤣 nimewaza jinsi navyokua nafanya hivyo naona kabisa unastahili kunyongwa kwa hili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awe tayari kusimamia biashara za mume na si za kwake.
Ni mfugaji wa kati..
Hapo kukimbizana kulisha kuku, na hela iko busy.
Kwanza kabla ya yote. Leo tunawaosha Carabao 🤣📌

Hahaaa unalisha kuku huku we ndani pesa ziko busy mnaishia kula vyakula vya kuku
 
Kwani ndoa ni ajira ?
Boss, Ndoa ni urafiki wa kudumu na kujamiiana huku kila mmoja akitimiza jukumu lake kwa mwenzake. Urafiki usipokuwepo hiyo ni ajira au uwekezaji na kuna upande utaumia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awe tayari kusimamia biashara za mume na si za kwake.
Ni mfugaji wa kati..
Hapo kukimbizana kulisha kuku, na hela iko busy.
kuna muda itatulia
 
Kwanza kabla ya yote. Leo tunawaosha Carabao 🤣📌

Hahaaa unalisha kuku huku we ndani pesa ziko busy mnaishia kula vyakula vya kuku
kwa umri huu mdogo ni kujiweka sawa ndugu,
 
Vigezo hivyo!Mbona akina "mimi" tulijikuta tu tumo ndoani bila hayo mahangaiko?Anyway,nakuombea dua njema.
 
Back
Top Bottom