Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwani ndoa ni ajira ?Mkuu si ununue tu mwanamke umlipe mshahara na job discription?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ndoa ni ajira ?Mkuu si ununue tu mwanamke umlipe mshahara na job discription?
Kwa sasa nahisi ndio ni Ajira kabisa,Kwani ndoa ni ajira ?
john kisomo are you resious? i mean serious 🤣 🤣 🤣 🤣 nimewaza jinsi navyokua nafanya hivyo naona kabisa unastahili kunyongwa kwa hili.11. Awe ni mtu wa kujari mme , ata nispomwambia kitu aweze kujiongeza. Mf: nikiwa job night aweze kuniandalia chai ya tangawizi au maziwa bila kuniambia kwa kifupi ajali mme
Ahsante.
mimi kuna muda huwa nakuwa busy night, sEti ujiongeze umpikie chai ya mdalasini usiku bila kuambiwa au umuandalie maziwa
kwa nnjohn kisomo are you resious? i mean serious 🤣 🤣 🤣 🤣 nimewaza jinsi navyokua nafanya hivyo naona kabisa unastahili kunyongwa kwa hili.
Hii imeendaMiwezi kumnyanyasa mwanamke lakin pia, siwezi kumzuia aondoke kama ameona hatuendani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kabla ya yote. Leo tunawaosha Carabao 🤣📌[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awe tayari kusimamia biashara za mume na si za kwake.
Ni mfugaji wa kati..
Hapo kukimbizana kulisha kuku, na hela iko busy.
Boss, Ndoa ni urafiki wa kudumu na kujamiiana huku kila mmoja akitimiza jukumu lake kwa mwenzake. Urafiki usipokuwepo hiyo ni ajira au uwekezaji na kuna upande utaumia.Kwani ndoa ni ajira ?
😂Eti ujiongeze umpikie chai ya mdalasini usiku bila kuambiwa au umuandalie maziwa