Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

Kigezo namba Moja kimenitoa kwenye reli,,,
Kigezo namba 8 kimenishangaza.
Kigezo namba 11 kimenichekesha.....Ila atasubiri sana kupata mke Kwa vigezo vyake hivyo labda aombe UTUMISHI wamsaidie kutangaza😁😁😁
Jamani si mlisema mki pata went hela, mshikamane πŸ˜‚πŸ€£
 
nakutakia kila la kheri katika hilo, hakikisha unafanya ibada kila mara na kumshirikisha Allah katika kila hatua πŸ’
 
mkuu mimi sipendi kubadir wanawake,
 
muda mwingine sio hadi, vifike vyote niko busy ndo maana nimefika hapa lakin vinginevyo ningemaliza mjini hapahap
 
Huyo anataka jini sio mke wa kibinadamu mahi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Azungukie baharini atampata
🀣🀣🀣🀣🀣Hakika uko sahihi mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…