kaaandikaπππHuyo anataka jini sio mke wa kibinadamu mahi ππππ
Azungukie baharini atampata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] li siredi lote hilo umeona hapo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Mjini cash inatakiwa, hizo zilizokuwa mashambani tutamsubiri kipindi cha mavuno bana weehkaaandikaπππ
et hela nnazo sio cash zipo busy mie heee
Yeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaβ¦..Eti ujiongeze umpikie chai ya mdalasini usiku bila kuambiwa au umuandalie maziwa
Huo muda usiku wa kuandaa chai ya mdalasini tunaupata wapi?insta na JF zitasomwa na nani?ππππYeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaβ¦..
Hao wanawake walikuwepo enzi za mjerumani ππππ
Si ndio hapo?? Siku hizi tunabebishana wallet ikijaa au tarehe za mshahara ππππVigezo viwe vi
Huo muda usiku wa kuandaa chai ya mdalasini tunaupata wapi?insta na JF zitasomwa na nani?ππππ
Ana mpango tuanze kusema Turmeric body oil fake huyu au sio?Si ndio hapo?? Siku hizi tunabebishana wallet ikijaa au tarehe za mshahara ππππ
Niandae chai nikiungua na rangi yangu ya kucha ibanduke kisa na mkasa!!!
Kwanza ngozi ya kuishindisha jikoni kuandaa chai iko wapi?? Nitaharibu skin routine yangu ngozi ishindwe ku glow bure ππππ
ππππππππππ Mjini cash inatakiwa, hizo zilizokuwa mashambani tutamsubiri kipindi cha mavuno bana weeh
mke wa hivyo atampata kwenye mali kale hukoYeye mwenyewe kaandika hiyo sentence huku anatetemeka mana ukweli anaujuaβ¦..
Hao wanawake walikuwepo enzi za mjerumani ππππ
Anataka tuanze kugombana na wauzaji mafuta πππAna mpango tuanze kusema Turmeric body oil fake huyu au sio?
πππ akwendreee zakemke wa hivyo atampata kwenye mali kale huko
Mimi Bora mnunaji kuliko mbwatukaji.Napenda kununa. Nitamkwaza mtarajiwa
Simfai π€£π€£
Huu usajiri nimeupenda vigezo hivyo alienavyo hajui hata kutumia smartphone beki 3 kwenye nyumba fulani mda huu anatawaza watoto, hawa wabandika kope za bandia hivyo vigezo hawanaKama ulimwacha wa kwanza, na wa pili ajiandae!!