Nimesema wanaume, kwa sababu humu wadada ni wachache, hivyo kama wanaume wana Dada zao au kadharika basi waweke ili iwe rahisi kwangu. Je wewe umeolewa au upo single!Utapata tu ila wanaume wa humu wai hampo serious hata walio single wameshindwa kujitokeza
😆😆😆😂hawana gharama zawadi ni maparachichi tu mtu anafurahi
Ngoja sisi wapenda nyonyo za hivi Acha tuweke kìtuo apa[emoji2309][emoji2309][emoji2309]
Kama habari inavyojieleza natafuta Mke wa kuoa, nimekuwa busy na kazi nakosa muda wa ku-mingle na kutongoza, na wengi ninaokutana nao wanawapenzi wao na wengine wameolewa. Sasa mimi nataka wa kwangu peke angu. Pia mimi ni miongoni mwa watu nisiopenda complications za kutongoza, wale wa sijui sitaki nataka, mara umeomba namba mtu anakuuliza ya kazi gani, mara umetoa wapi namba yangu wakati kakupatia yeye, mara sijui tuma kwanza na ya kutolea, na kadhia zingine tunazokutana nazo wakati wa kutongoza. Unakuta mdada badala ya kukunyooshea maelezo kuwa nina mtu, sikutaki, au nakutaka pia, unakuta mdada anakuzungusha, hupo naye lakini mlivyokaa na kama kila mtu anaweka mguu mmoja ndani mwingine nje.
Sasa mimi nataka wa kuoa kabisa, sasa humu ndani kama wewe ni mdada hujaolewa weka post yako, au kama ni Mkaka una Dada yako hajaolewa weka picha yake hapa tuone maana nataka kupata mke, pia mabechela wengi pia watachagua Pisi zao.
Nikafanyaje😎😆😆😆
Na wewe usisahau kwenda na mleta mada kijijini
Pesa zipo za kutosha, atafurahi mwenyewe... Nitumie picha yakeUna miliki nini na pesa kiasi gani zipo benki?
Usije kuwa take home 300K kwa mwezi unakuja kusumbua watu humu unataka mke au unataka House gal?
Funguka zaidi nikupe binti yangu 23 ana Masters na bikra kwa mujibu wa daktari wa familia.
Sitaki mkwe anayemiliki kende na mavyuzii tu.
Shauri yakoNikafanyaje😎
Tutabanana na nyie nyie wa mjini si unajua mjini kila pisi ina kalio 😅
Nitumie bank statement yako nikupe picha na namba zake.Pesa zipo za kutosha, atafurahi mwenyewe... Nitumie picha yake
Nipo single na enjoyNimesema wanaume, kwa sababu humu wadada ni wachache, hivyo kama wanaume wana Dada zao au kadharika basi waweke ili iwe rahisi kwangu. Je wewe umeolewa au upo single!
Chief,huyo kwa kuanza naye vipi?
Hawa wapumbavu wavaa haya makobazi hata bure usioeView attachment 2742981
Tafuta mvaa hivi viatu
Mimi nataka mtu trustworthy, sasa ukisema tuanze kuweka Bank Statement... Anaweza akaja kwa Tamaa hili apige pesa asepe, na mimi staki watu wa aina hiyo. Yeye kama ana deserve maisha mazuri nipe details zakeNitumie bank statement yako nikupe picha na namba zake.
Haya haujakatazwa kumuumba mkuu..... Sasa mimi nataka wa kwangu peke angu.....