Natafuta Mke wa kuoa, kila mtu aposti picha ya Dada yake ambaye hajaolewa!

Natafuta Mke wa kuoa, kila mtu aposti picha ya Dada yake ambaye hajaolewa!

Kama habari inavyojieleza natafuta Mke wa kuoa, nimekuwa busy na kazi nakosa muda wa ku-mingle na kutongoza, na wengi ninaokutana nao wanawapenzi wao na wengine wameolewa. Sasa mimi nataka wa kwangu peke angu. Pia mimi ni miongoni mwa watu nisiopenda complications za kutongoza, wale wa sijui sitaki nataka, mara umeomba namba mtu anakuuliza ya kazi gani, mara umetoa wapi namba yangu wakati kakupatia yeye, mara sijui tuma kwanza na ya kutolea, na kadhia zingine tunazokutana nazo wakati wa kutongoza. Unakuta mdada badala ya kukunyooshea maelezo kuwa nina mtu, sikutaki, au nakutaka pia, unakuta mdada anakuzungusha, hupo naye lakini mlivyokaa na kama kila mtu anaweka mguu mmoja ndani mwingine nje.

Sasa mimi nataka wa kuoa kabisa, sasa humu ndani kama wewe ni mdada hujaolewa weka post yako, au kama ni Mkaka una Dada yako hajaolewa weka picha yake hapa tuone maana nataka kupata mke, pia mabechela wengi pia watachagua Pisi zao.
Shida wewe ni nshomile na unapenda sifa by the way huna hela wewe huwezi kumuoa dada yangu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
1693806888954.jpg
kama una ela sana nikupe huyu
 
Hayo mengine achana nayo, mlete sister tuyajenge hapa... Hizo nyingine mbwembwe tu, kwa hiyo utamuoa wewe huyo dada ako
Hapana siwez kumuoa mimi ila sasa sitaki habari za wewe uanze kumtuma dada akope hela kwangu maana sioni shida kumtafutia bwana mpya .

Nambie una nini ili nishawisheke kukushikisha tako la dada .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hapana siwez kumuoa mimi ila sasa sitaki habari za wewe uanze kumtuma dada akope hela kwangu maana sioni shida kumtafutia bwana mpya .

Nambie una nini ili nishawisheke kukushikisha tako la dada .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile apph
Nina maisha ya uhakika, wewe mlete sister Ako lete namba PM, mbona uta-enjoy tu kamba Bwana Shemeji.... Hautajuta kamanda mimi ndio Chief Lumanyika
 
Back
Top Bottom