Natafuta Mke wa kuoa, kila mtu aposti picha ya Dada yake ambaye hajaolewa!


Huyu tunakupa bureeee na ukipenda tunalipa mahari sisi.
 
Nimependa uko straight hakuna kona kona.
 
Nina maisha ya uhakika, wewe mlete sister Ako lete namba PM, mbona uta-enjoy tu kamba Bwana Shemeji.... Hautajuta kamanda mimi ndio Chief Lumanyika
Nimekaa nimetafakari kuhusu suala lako ila nimekumbuka kuwa dada akiolewa na mtu ana hela basi na mimi nakuwa nimeula .

Aisee shemeji ChiefLumanyika nimetuma namba ya dada PM akileta ujuaji nijulishe lakini pia mueleze kaka yake nimeridhia wewe umstiri .

Oya shemeji nakukubali sana rafiki Chief Kumbyambya nimepata shemeji now umasikini wa pombe za kugongea tupa kule .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hapana... Kila mtu uwa na Bahati yake, uenda mimi nikaokota Dodo china ya mparachichi, haya mambo yanawezekana ofisa
Halafu nilijua uko serious. Nimeona hauko serious.
Kama uko serious komaa na huyo mzee alisema ana binti yake wa 23 yrs old make sure upate mawasiliano yake mengine yanweza kuwa history. Fanya hivyo.
 
Mimi nataka mtu trustworthy, sasa ukisema tuanze kuweka Bank Statement... Anaweza akaja kwa Tamaa hili apige pesa asepe, na mimi staki watu wa aina hiyo. Yeye kama ana deserve maisha mazuri nipe details zake
Amezaliwa na kukuta pesa toka kwa sisi wazazi wake.
Sio mgeni wa pesa sasa ni mtu mzima naye ana elimu na kazi yake inayompa pesa,sina hakika kama unaweza kuwa na benki statement ya kumfanya binti yangu aweweseke kisa pesa zako.
Acha maneno mingi kijana funguka otherwise utaendelea kupiga nyeto maisha yako yaliyobaki duniani.
 
Nakwambia utatoka tu hata kwa greda. Tutakuozesha utake usitake! Unakaribia miaka 40 sasa bado hutaki kuolewa?
🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe hata umri wangu kaka huujui🙆🙆🙆
40 kitambo sana, na sitokiiii hata kwa greda🤣🤣🤣🤣🤣
 
...Dah! Mimi sijui kabisa kutongoza... Istoshe naogopaga sana... Kazi nnayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…